Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Unamtumza lakini, je hana malalamiko yoyote je unamjali? Mwanamke ni complex kidogo kujua shida zake wanaficha sana kama anakupenda lakini, je mna watoto au mtoto pia mwanamke akizaa huwa hamu ya tendo hupotea kwa maana hormone zinapungua mwilini zile za hamu ya kufanya tendo
 

Ila usichepuke, ukichepuka utaanza ingiza mapepo ndani utajions mwenye nuksi sio kazini sio nyumbani sio popote, bora ujikaze hakuna maana kufanyafanya na kila pussycat
 
Wee mkomalie wife akupe haki yako bwana...ameolewa for the sole purpose ya kukupa wewe burudani
 
Eboo! Hamu ya sex inapungua baada ya kuzaaa....sasa hii sii majanga jamani.
 

Kingine tumetofautiana kiwango cha sex drive. Kuna wengine kiasili tu hawana mzuka na sex au baada ya muda wanapoteza interest kiasi cha kutoipa umuhimu mkubwa katika maisha yao.

Nimeongezea tu ili mtoa mada na wengine wanaochangia, wasidhani kila mtu anawaza na kuipenda sex 24/7
 
Mh
 
Mkeo kuna kitu kinamsumbua kichwani.
Worst case ana bwana nje, ila wewe hujui.
 
Assnte sana mkuu.
 
Asante
 
Najitahidi kutunza,watoto wapo.
 
Asante sana
 
Hakua hivyo mwanzo.

Njia za uzazi wa mpango ametumia mkuu inawezekana zimechangia tatizo.

Je akiacha kuzitumia hormone zitarudi kawaida?
 
Issue ni kwamba huwa akuanzi kuonyesha ana Hamu...!?

Ama hapenzi kufanya Mapenzi!?

Ama hata umuanze hana ile hamsha hamsha!?
Haanzi ikitokea ni mara moja moja sana labda niwe nilisafiri nikarudi.

Ila tukkwa wote kwa muda mrefu hana mzuka hata nikimuanza,so sometimes ananipa kunilizisha tu hakuna ushirikiano ananipa nirikike alale zake.
 
Najaribu kufuatilia bado sijagundua hilo jambo
Kuna mawili. Kama humtaki, chepuka na uende. Ila kumbuka, huko uendako wanachotaka si wewe,bali kilichopo mfukoni mwako. Ila kama unamfili insaidi, we chukua mda wako mchunguze. Utajua. Kuna mawili:
-labda kuna kitu hakiko sawa upande wako anashindwa aanzie wapi kukwambia kasoro zako, au kuna kitu ulimuahidi akakuta ni kinyume. Hapo utasota mpaka.
-labda na yeye ana jambo zito anajua siku ukigundua amekwisha. Kamwe hatokaa awe na amani. Huenda siku ukakuta kachukua chake na kusepa, au kajitia kitanzi kabisa. Hakikisha kwanza mnakuwa marafiki. Ukifanikiwa hilo,hawa viumbe wazuri sana. Utashangaa siku moja anaongea kama anaongea na shoga yake🤣🤣🤣🤣
 
Sasa, unadhani akimpeleka hotelini atapata nini? Atalala vile vile tu. Kwa hayo mawili uloyataja,kuna asilimia kubwa za ukweli. Sema tu inaonekana jama hakuwa baharia. Vinginevyo asigekuwa njiapanda. Hapo siku tatu zinatosha kujua unae au ni msanii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…