Sasa mtu ushajua mke hampendi mama mzazi hapa nihakuna mkeMwambie awe makini asikosee tena kutuma sms ikaja kwako
Daaa hata hisia zinakata kabisa aiseeKabla hujamweka ndani kwani ulikuwa hujui mapungufu yake,?
mna watoto wa 3 sasa hvi ndiyo umesha ona mapungufu yake...
Mvumilie mmalize ungwe ya mda mchache mliyo bakiza hapa duniani mlee watoto hao
Kabla yakumuoa hakua nahizi tabia nimekua nae ktk mahusiano kwa miaka3 kabla yakumuoaHuwezi jua tabia ya mke hadi uishi nae labda uwe na macho ya 3
Umewatag halafu unasema afanye juu chini wasiuone😁
Najuaje sisms anakua anamtaja dada yake...mfano aseme hivi...asha huyu mama mkwe anavituko hapo sikataja jina la dada yakeOngea nae,umuulize ni kitu gani hasa kinamsumbua,jaribu kutafuta chanzo cha tatizo hilo,lakini nikuulize kitu wewe unajuaje kiwa huwa anachati na hao dada zake?
pia ni vizuri uwaite hao dada zake na muongelee jambo hili kwa pamoja,utapata ufumbuzi wa suala hili,maisha ni kusameheana
Daaa nibalaa hata hamu ya sex mtu unakuta iankukata kabisa ukikumbuka tabia zamkeHilo ndio chaguo lako
Hatari SanaDaaa nibalaa hata hamu ya sex mtu unakuta iankukata kabisa ukikumbuka tabia zamke
Mkuu siujaandamwa namabalaa muombe mungu..nikama mtoto anaezaliwa ktk utajiri familia Bora mpaka anakua anazeeka maisha safi so huwez mlaumu ambae hajawaha namaisha safi mazur kisa ww hukupita hukoWw jamaaa ngoja nikuweke ignore list maana ushatuona wana jf ni watoto wenzako. Kila siku unaleta mada za aina moja. Kwahiyo ni wewe tu ndio mabaya yanakukutaga hapa duniani?
Keshapata waharibifu mashoga au muathirika wa hizi tamthilia.Kabla yakumuoa hakua nahizi tabia nimekua nae ktk mahusiano kwa miaka3 kabla yakumuoa
Tatizo ni kuwa hautaki kuangalia kama anachosema kuhusu wazazi wako kina ukweli. Msikilize vizuri na kama kuna ukweli tajuta njia ya kuwaambia wazazi wako ili wabadilike au mwambie avumilie tu kwa sababu hauwezi kuwabadilisha wazazi wako. Anaongea nje kwa sababu anajua hautamsikiliza. Wazazi sio malaika.Anakua nikama ameenda kusalimia kwetu analala uko siku mbili au tatu Sasa ktk hizo siku so yanayoendelea hapo ndo anakua anamuhabarisha dada yake anamuhabarisha kwa ubaya na chuki ndo sms anajikuta kaisend kwangu
35yrs old anamuelimisha mwanamke wa 31yrs old maisha yalivyo????!!!Inabidi nazungumza na namuelimisha namna maisha yalivyo.
Uendelee kuchatisha ili atafute sababu zakudanganyaUna uhakika anakosea kutuma kweli au anafanya kusudi?.
Siku ingine akikutumia endeleza mchatisho, usikubali kuwa mnyonge Bro chat.
Wengi wako hivyo hata usijpe shida ila tatizo ni kwamba wa kwako umejua kwa kukosea msg ila wanawake wengi hawawapendi wakwe zao wana act tuHabar wakuu, mimi ni baba wa watoto wa 3, niko 35 mke 31, hapo awali miaka 4 nyuma wazazi walikua wakinambia tabia za mke ambazo ni za maneno na umbeya yaani anazungumza mambo yanayohusu wazazi wangu ndugu zake na mashost zake anazungumza maneno mabaya.
Sasa watu huhadithiana yanafika nikimuuliza anakataa. Inabidi nazungumza na namuelimisha namna maisha yalivyo.
Sasa bana kumbe tabia haikukoma, kumbe amekua akichat na ndugu zake hasa dada yake, chats za kusema wazazi wangu.
Mke wangu alishawahi kosea sms ikaja kwangu kama mara mbili sikusema chochote.
Majuzi asubuhi asubuhi nimekaa zangu kabla sijatoka home alikua anachat tu na sms zinaingia naskia anavochati
Kumbe anachat na dada yake bahati nzuri akakosea kusend sms moja ikaja kwangu akimhadithia dada yake jinsi mambo mabaya kuhusu mama yangu yaani hampendi.
Nawaza naona kama nimke ambae hanifai, alishawahi kuwekwa kikao kwa mambo haya lakini naona kama habadiliki uswahili roho mbaya vimemjaa.
Sasa mke alivyomnafiki ukimkuta na mzazi wangu wakike anavyoact kama kweli vile anamkubali.
Wakuu ushauri wenu.