Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
I see Paul kellerman ova there, smart man.
Bonge moja la Jamaa alifanya kazi nzuri kwenye PB Paul KellermanI see Paul kellerman ova there, smart man.
Bonge moja la Jamaa alifanya kazi nzuri kwenye PB Paul KellermanHahaha! Mnunulie rice cooker!
kwakweli hata mie huwa sina hiyana !

mnunulie rice cooker then uwe unamkadililia akipika roho una mkadilia na kipomo cha maji anachotakiwa kutumia hutakula mabokoboko Tena ....naimani mboga atakuwa anajua kupika vizuri tuWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
Mfundishe kupikaWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
NdioKwani rice cooker inapika wali,,!!!