kaka hizo ndio sequences za kupika wali ukawa mtamu/mzuri suala la kiasi cha chumvi ,mafuta, na vinginevyo ni ninyi sasaHaya maelekezo hata huyu mke anayajua na kama wana katoto ka miaka mitatu kama huwa kanacheza karibu wakati mama au dada anapika kanajua. Ungesema mchele kiasi gani uwekwe maji kiasi gani, mafuta na chumvi kiasi gani, moto mkali kiasi gani, upikwe kwa muda gani. Kutozingatia uwiano wa vipishi ndo sababu ya kupika leo tope,kesho mbegu.
Mfunze nawe km ndo walewale komaa au mpeleke mkeo chuo cha upshiWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta msichana wa kazi kwa maana yeye anaenda kazini, huyo msichana wa kazi alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima.
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na msichana wa kazi ila nimejua hilo baada ya huyo msichana kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kijijini mambo ya mapochopocho ya mjini hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi mke wangu ndio apike, sasa nilichogundua mke wangu naye kupika hajui hasa ubweche(wali)
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika msichana wa kazi naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana.
Sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule msichana wa kazi aliyeondoka nimuweke ndani ili mke wangu akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu.
S ndo hapo tena wali una mapsh tofaut tofaut c ndo mwanzo wa kula wa maji kila siku jamani khaa!Yaani mwenyewe namshinda.
Huyu shemeji yetu anazingua aseeh bora ukosee vyakula vyote ila sio ubweche,mpungaa cheka na watoto.
Zezeta mkubwa wewe, ndio nyie mnao ua wake zenu!Mwambie ukwel aumie ili ajifunze aache uzezeta m/ke unashndwaje kupika wali?
Nunua RICE COOKER.Wali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.
Mwanzoni nilipomuoa alimleta msichana wa kazi kwa maana yeye anaenda kazini, huyo msichana wa kazi alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima.
Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na msichana wa kazi ila nimejua hilo baada ya huyo msichana kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kijijini mambo ya mapochopocho ya mjini hayajui sawasawa.
Hii imelazimu muda mwingi mke wangu ndio apike, sasa nilichogundua mke wangu naye kupika hajui hasa ubweche(wali)
Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika msichana wa kazi naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana.
Sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule msichana wa kazi aliyeondoka nimuweke ndani ili mke wangu akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu.
Hamna maduu wa kisasa tabia ndo hizohizoWali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.