Mke wangu hajui kupika wali

Mke wangu hajui kupika wali

Kati ya vitu angalau najivunia ni kupika, yan mwanamke mie nishindwe kupika?

Uwiiii hapana.
Aseee
Huyu jamaa inaonekana hajawahi kuishi gheto... mimi kikiletwa mara mbili kibovu naingia mzigoni maana labda kuoka mikate keki ndivyo sijui tu.
 
Hahaha! Mnunulie rice cooker!
....Hicho ni kitendea kazi tuu,bila ujuzi atachemsha tuu. Wa kwangu alikuwa na same problem, wakati mimi napenda mapocho pocho, hasa wali nazi, pilau, biriani etc...Nina mama mdogo, mama yangu na shangazi ambao kwa mapishi hatari...nikaanza kumzoesha kwenda kushinda huko weekend na pia kuwaalika kwangu. Baada ya muda naye akawa mkali kuliko walimu wake.
 
Huo sio ukilema mfundishe pole pole ataweza. Labda km na ww huwezi basi mtafute hata mdogo wako akae hapo mwezi akimfundisha . Ukishaoa usiweke kuacha kukawa rahisi hivyo. Hayo ni mapungufu madogo sana na solution ni fasta tu. Kumbuka Ana Moyo pia na kama anakupenda na ww inabidi umpende sana na usimchukie kwakua hajui kupika. Msamehe kwakutojua kupika. Ahsante
 
Kama unajua kupika,mfundishe.
Kama hujui,mwambie ajifunze, pengine hajui kama unapenda chakula hicho.
 
Mi mwenyewe kuna ndugu yangu kaja hapa kwangu kwa makazi ya kudumu kidogo. Ni zero kabisa kupika yaani hadi nachukia kula nyumbani saivi
 
c nifundishe kama unajua! kama hujui mpeleke short course. na ujue uyo ni mke c mpishi
 
Mimi kuna siku huwa nampikia my wife chakula na hata kumwekea maji ya kuoga bafuni huwa inategemea na ni nani mwenye muda wa kufanya hivyo vitu!......Akiwa busy na mambo mengine i usually do it na nikiwa busy na shughuli nyingine she usually do it!
Aseeh hongereni saana bila shaka anachura
 
Wanawake wengi walio zaliwa 1991 kuja juu hawajui kupika
 
Wali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke.

Mwanzoni nilipomuoa alimleta housegirl kwa maana yeye anaenda kazini, huyo hg alikuwa ni mpishi mzuri na tuliishi naye karibu mwaka mzima,

Mimi sikuwa najua chakula wali siku zote ulikuwa unapikwa na hg ila nimejua hilo baada ya huyo hgal kuondoka na kuja mwingine ambaye ametoka kileji mambo ya mapochopocho ya town hayajui sawasawa.

Hii imelazimu muda mwingi wife ndio apike, sasa nilichogundua wife naye kupika ni ziro hasa ubweche,

Leo atapika bokoboko, kesho atapika mbichi, akipika bekitatu naye ni yaleyale, yapata miezi mitatu sasa sijala wali wa maana, sasa mnanishaurije nduguzanguni, nimtafute yule bekitatu aliyeondoka nimuweke ndani ili wife akae bench au mnaonaje? Nakonda mwenzenu
Mnunulie kitabu cha mapishi
 
Nunua rice cooker..problem solved
 
Jina lako linatoa picha mkeo yukoje
 
Back
Top Bottom