stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,150
teh teh !haya mkuu ngoja nianze kutafuta spicesWala usikonde mbuzi lazma ianguke hio siku
Ila pilau na rost yake hio ndio nayoisubiria kwa hamu saana,,
Kama ya siku ileeee,,!!ladha yake ilikua ni nowmaa
ahsante sana mkuu kuliona hilo !mke amejifungua lakini bado mume atalalamika msos mbaya !na unajua kbs mkeo amejifungua anaugulia maumivu !mjifunze kupika !tusichoshane jamaniNilijua kupika kwa mbinde sana kwanza mtihani mkubwa ni wali na ugali, nlichoka kula hotelini ila ilinilazimu kulazimisha kujua kupika, dada zangu walikuwa karibu sana na mm kunielekeza, sasa mara nyingi kama mnapikia kwenye mkaa ndio labda unampa changamoto kupika, ila mimi napikia jiko la gesi au jiko la mchina ndio naweza kwenye mkaa siwezi ku control huo moto. wanaume tujifunze kupika ili tuwasaidie wake zetu pale ambapo tunaona wameshindwa tuelekezane sio kutaka watu wa nje watusaidie watatusema nje huko kuwa hatuwezi, ujue mkeo hata siku moja asingeweza kupika wali ambao atakula huyo housegirl maana anajua atamsema huko nje kuwua hajui kupika.
Mimi huwa nakomaa kabisa sitegemei mtu, hata hivyo housegirl akiwa mjanja atakuvutia tu kama alivyosema eti housegirl anapika vizuri hadi anafurahia sasa huoni hapo kidogo tu angemchukua awe mke kisa kujua kupika wali ahahahaahsante sana mkuu kuliona hilo !mke amejifungua lakini bado mume atalalamika msos mbaya !na unajua kbs mkeo amejifungua anaugulia maumivu !mjifunze kupika !tusichoshane jamani
You mean unajua kupika vyakula vyote au mwanamke asiyejua kupika wali ndo changamoto? Amweleze mkewe dukuduku lake mama ajiongeze kujifunza badala ya kutoa siri za ndani nje. Yeye mwenyewe kuna mengi mkewe anamvumilia.Wakati wa uchumba hukuwahi mwambia akupikie??!! Mwanamke asiyejua kupika ni changamoto kwa kweli
kwa faida ya woote wali hupikwa hivi;
1.chemsha maji ya kutosha
2 safisha mchele unaotarajia kupika baada ya kuuchambua
3.chemsha mafuta kiasi utakachotumia kupika wali wako,hakikisha mafuta haya yamechemka waweza funika wakati wa kuchemsha ili yachemke kwa ufasaha,ukiyasikia harufu na moshi itapendeza zaidi.
5. epua mafuta weka pembeni then tatatibu tumbukiza mchele wako ulochujwa [uwe mwangalifu hapa maji mazito kuliko mafuta hivyo huwa yanaruka]
then koroga weka maji ya moto yazidi kidogo kwenye level ya mchele ndani ya sufuria yako.
6. funika then punguza moto wako taratibuu uive
haijarishi unatumia gas, mkaa, kuni au makaa ya mawe
'NB KAMA UNAWEZA NA UMETUMIA MFUNIKO FLAT UNAWEZA KUANZA NJONJO ZA PINDUA PINDUA YAANI MFUNIKO CHINI MFUNIKO JUU MPAKA WALI WAKO UNAIVA
NB2....Akishindwa kabisaaa mlete nimfundishe
Hahahahaa.... inapika wali na ina akili balaa. Hata ukiweka mchele kikombe kimoja,mafuta nusu kikombe na maji lita mbili yenyewe inajua kukausha wali kisayansi baada ya muda unapakua wali matata sana.Kwani rice cooker inapika wali,,!!!