unamaneno machafu kwa mkeo, jirekebisheEbu nishaurini,nina mke ambaye tumeona kama miezi sita hivi imepita..katika hari ya uchumba wetu tulikuwa na mapenzi ya kawaida,si ya moto wala baridi katika kipindi cha miaka minne.. Tulikubaliana tuoane ..lakini katika kipindi chote cha ndoa sijawahi kusikia mke wangu akinitamkia kuwa ananipenda japo tunafanyia mambo mbalimbali kama wanandoa,kila nikimuuliza kwa nini huwa usijawahi ukisema kuwa unanipenda hata siku moja toka tuoane basi huwa ananuna mpaka basi.. Jana nimemwambia siku nikipata mtu anayeniambia ananipenda na kunijari kuliko wewe..utakuja kujuta na huku ukiwa umekwisha chelewa..basi kanununa usiku kucha mpaka naondoka nyumbani.. Nishaulini nichukue hatua gani kwa huyu bibie..
Jana nimemwambia siku nikipata mtu anayeniambia ananipenda na kunijari kuliko wewe..utakuja kujuta na huku ukiwa umekwisha chelewa..basi kanununa usiku kucha mpaka naondoka nyumbani..
Nishaulini nichukue hatua gani kwa huyu bibie..
Ebu nishaurini,nina mke ambaye tumeona kama miezi sita hivi imepita..katika hari ya uchumba wetu tulikuwa na mapenzi ya kawaida,si ya moto wala baridi katika kipindi cha miaka minne..
Tulikubaliana tuoane ..lakini katika kipindi chote cha ndoa sijawahi kusikia mke wangu akinitamkia kuwa ananipenda japo tunafanyia mambo mbalimbali kama wanandoa,kila nikimuuliza kwa nini huwa usijawahi ukisema kuwa unanipenda hata siku moja toka tuoane basi huwa ananuna mpaka basi..
Jana nimemwambia siku nikipata mtu anayeniambia ananipenda na kunijari kuliko wewe..utakuja kujuta na huku ukiwa umekwisha chelewa..basi kanununa usiku kucha mpaka naondoka nyumbani..
Nishaulini nichukue hatua gani kwa huyu bibie..
Yupo kidume anae pendwa zaidi ukiona hivyo
dada yangu wa moyoni, mbona hujalalamika kuwa sijakwambia nakuloveeeee toka tumekuwa dada's in hearts?? lolest! nakupendajeeee sasa my dada! kha!jamii01 that is understatement to your wife.Binafsi umetumia lugha chafu na ya kuonyesha kuwa uko radhi kutoka nje so ni mpango uliokuw umeupanga na hapa unatafuta jinsi ya kutokea tu. ndoa yenyewe miez site ushaanza kuuchokoa mchokoo kweli weye hata first born utalea jamani? badilika wewe wala mkeo hana shida yeyote.
Hii nimeipenda..kuna watu wanaamini na kuchukua vitu/mambo mengi yanayozungumzwa humu...kibaya zaidi unashauriwa vitu ambavyo hata anaekushauri hajawahi kufanya hivyo. Mawazo ya JF changanya na ya kwako.Tricky one.
Ila umetumia maneno mabaya sana, na tayari umeshaweka Doa ambalo kulifuta ni vigumu sana moyoni mwake. Hatakaa akuamini kwamwe! Yaani umeweka pilipili kwenye kidonda!
How old are you?
Nafikiri JF kwa kiasi Fulani imekuathiri negatively, chuja sio kila kitu tusenacho ndicho tukofanyacho!