Ndugu yangu kwa hiyo anakwambia 1,800,000 haitoshi na unamuongeza nyingine na nyingine hivi hivi tu? Duh! Sasa nikusaidie kitu simple cha kufanya, kabla hujampa hela nyingine, mwambie akupe matumizi ya hiyo 1,800,000 kwa mwezi amefanyia nini?
Amenunua chakula cha nyumbani sh.ngapi?
Amemnunulia mtoto nini?
Usafiri sh.ngapi?
Voucher sh.ngapi?
Haziwezi fika 1,800,000 kwa matumizi ya kawaida, ndugu UNAIBIWA!