Mke wangu haachi pesa ya matumizi

Mke wangu haachi pesa ya matumizi

Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza.
Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri.

Mara baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni moja ivi ya wachina, baada ya kufanya kazi kwa miezi kadhaa nikaona bora nimuite Mke wangu tuje tuishi Wote Kwani Wakati huo nilikua nimejitisheleza.
Wakati huo Mke wangu alikua Hana ili wala lile japo alishafanya interview nyingi tu lakini bado hakubahatika kupata kazi, kwa kipindi chote hiko Mimi nafanya kazi nilikua namtia moyo, kipindi chote hiko nafanya kazi hajawai kulala na njaa wala fashion yeyote kumpita.

Baada ya kukaa nyumbani takribani mwaka mzima bila kazi, Nakumbuka 11th mwezi 3 alifanikiwa kupata kazi kwenye taasisi moja ivi, Kwakweli turifurahi Sana hiyo siku, turimshukuru mungu kwa tusimamia na kupata kazi sote,.

Maisha yalienda tukiwa na furaha japo Kuna vitu vilinitatiza, japo Mke wangu anapokea mshaara Mkubwa Mara mbili yangu ila majukumu Yote ya kifamilia nilikua nayatekeleza Mimi, pesa yake sijui alikua anapereka wp Yaani hata gari anayotumia yeye Mimi ndie nilikua namjazia mafuta.

Kisanga kilianza baada ya mkataba wangu na wale wachina Kuisha, mwanzo mambo yalikua mepesi Mke wangu alinishauri na kunitia moyo, alikua anarudi kazini mapema japo kuna kazi nilikua nimeshazifanya km kufua, usafi wa nyumba n. K akirudi yeye kabla hata hajapumzika hunipikia chakula cha Jioni, asubuhi kabla hajaondoka huwa ananiachia kiasi cha pesa ya matumizi,,

Toka ile kazi imeisha yapata miezi minne sasa, nieleweke Sio kwamba kipindi chote hiki nimekaa tu nyumbani, nimehangaika na vyeti ofisi mbalimbali kutafuta kazi, Muda mwingi nipo na laptop yangu nafanya interviews online, kokote nikisikia Kuna nafasi za kazi mm huwa wa kwanza.

Shida kwa Mke zilianza takribani mwezi sasa, kidogo kidogo nikaanza kuona mabdiliko, akawa anachelewa kurudi, akirudi hanipikii anadai amechoka ivo ananipa pesa nikale mghawani na yeye anadai hajisikii kula, ila asubuhi lazma aache ela ya matumizi kwasababu anajua Sina ujanja wa kupata pesa.

Tumeenda ivyo mpaka majuzi Hari imeanza kuwa mbaya, akirudi hapiki wala hanipi pesa ya kwenda kula mghawani, mbaya zaidi asubuhi anaondoka aachi chochote,
Tena Jioni akirudi Hana hata Muda wa kunitazama yeye anaoga na kulala, Hataki hata kujua nimekula nini.

Naandika ivi toka Jana sijala, nyumbani Siwezi kupiga simu kuwaomba pesa kwasababu wanajua Mke wangu anafanya kazi mzuri tu.

Hari yangu mbaya Kwakweli nisaidieni hata kwa mawazo nifanyeje kwa Hari Hii niliyonayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haukuwa na akili pesa yote ya mshahara ulikuwa unakula bila kuweka akiba. Yeye ulikuwaje unamjazia mafuta ilhali yeye alikuwa na kazi na kukuzidi mshahara. Je hio kazi haujapewa hata kiinua mgongo. Majito ni mjukuu ulimdekeza wife vibaya Sana sasa ndio matokeo yake.wajanja washaanza Kula mzigo Pambanena na Hali yako. mwombe hata mtaji uwe untembeza hata mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu wanawake wakiwa na fedha wanakua jeuri na viburi sana mwanaume kama huna kitu utapata tabu sana
Naileweke: nikweli kwamba juzi niliandika uzi apa kwamba Mke wa kaka hataki kunifulia, naomba niwaweke sawa wanajamvi,
Kulingana na Hari niliyonayo sasa nimekua Mtu wakushinda nyumbani,
Juzi asubuhi nikiwa nimekaa nje hapa nyumbani Kaja kijana kiumri ni mdogo wangu lakini tumezoea kukaa pamoja na kupeana mawaiza mawili matatu kwan na yeye Hana shughuri yeyote anayofanya anaishi kwa kaka yake.
Ivo Muda mwingi tunakua pamoja, ivo juzi Kaja kuniambia shemeji yake hataki kumfulia!
Binafsi nilishangazwa Kama nyote mlivyoshangazwa, nilimuuliza Kwani huwa anakufulia? Akanijibu ndio, ndio shemeji yake huwa anafuwa nguo zoote Kwani pale Wapo watatu tu yeye, kak yake na Uyo shemeji yake, anasema baada ya kaka yake kuondoka (kasafiri takribani karibu wiki sasa) shemeji yake hamfurii tena..
Nikaona jambo ilo ni LA kustahajabisha Sana.
Japo nilimshauri aanze kujifuria ila Nikaona bora niweze kushare na nyinyi wanajamvi, ili muweze kujua kwamba Kuna familia zingine zinamambo ya ajabu ambayo kwa watu wengine unaweza kuona ni km hadithi,.
Naomba ieleweke ivyo,
Ili nililoliandika Leo ni la kwangu Sio story ya kutungunga, yeyote mwenye mashaka namkaribisha nyumbani apa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaaaani pole sana aiseee

am better here
 
Dah, hivi mtu kweli unataka shemeji akufulie? Kwa nini mnakuwa waapuuzi kiasi hicho? Ina maana huyo kijana(asiye na kazi) yupo tu lakini bado anataka afuliwe nguo na shemeji yake!!!

Haya ni maajabu ya mwaka...
 
Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza.
Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri.

Mara baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni moja ivi ya wachina, baada ya kufanya kazi kwa miezi kadhaa nikaona bora nimuite Mke wangu tuje tuishi Wote Kwani Wakati huo nilikua nimejitisheleza.
Wakati huo Mke wangu alikua Hana ili wala lile japo alishafanya interview nyingi tu lakini bado hakubahatika kupata kazi, kwa kipindi chote hiko Mimi nafanya kazi nilikua namtia moyo, kipindi chote hiko nafanya kazi hajawai kulala na njaa wala fashion yeyote kumpita.

Baada ya kukaa nyumbani takribani mwaka mzima bila kazi, Nakumbuka 11th mwezi 3 alifanikiwa kupata kazi kwenye taasisi moja ivi, Kwakweli turifurahi Sana hiyo siku, turimshukuru mungu kwa tusimamia na kupata kazi sote,.

Maisha yalienda tukiwa na furaha japo Kuna vitu vilinitatiza, japo Mke wangu anapokea mshaara Mkubwa Mara mbili yangu ila majukumu Yote ya kifamilia nilikua nayatekeleza Mimi, pesa yake sijui alikua anapereka wp Yaani hata gari anayotumia yeye Mimi ndie nilikua namjazia mafuta.

Kisanga kilianza baada ya mkataba wangu na wale wachina Kuisha, mwanzo mambo yalikua mepesi Mke wangu alinishauri na kunitia moyo, alikua anarudi kazini mapema japo kuna kazi nilikua nimeshazifanya km kufua, usafi wa nyumba n. K akirudi yeye kabla hata hajapumzika hunipikia chakula cha Jioni, asubuhi kabla hajaondoka huwa ananiachia kiasi cha pesa ya matumizi,,

Toka ile kazi imeisha yapata miezi minne sasa, nieleweke Sio kwamba kipindi chote hiki nimekaa tu nyumbani, nimehangaika na vyeti ofisi mbalimbali kutafuta kazi, Muda mwingi nipo na laptop yangu nafanya interviews online, kokote nikisikia Kuna nafasi za kazi mm huwa wa kwanza.

Shida kwa Mke zilianza takribani mwezi sasa, kidogo kidogo nikaanza kuona mabdiliko, akawa anachelewa kurudi, akirudi hanipikii anadai amechoka ivo ananipa pesa nikale mghawani na yeye anadai hajisikii kula, ila asubuhi lazma aache ela ya matumizi kwasababu anajua Sina ujanja wa kupata pesa.

Tumeenda ivyo mpaka majuzi Hari imeanza kuwa mbaya, akirudi hapiki wala hanipi pesa ya kwenda kula mghawani, mbaya zaidi asubuhi anaondoka aachi chochote,
Tena Jioni akirudi Hana hata Muda wa kunitazama yeye anaoga na kulala, Hataki hata kujua nimekula nini.

Naandika ivi toka Jana sijala, nyumbani Siwezi kupiga simu kuwaomba pesa kwasababu wanajua Mke wangu anafanya kazi mzuri tu.

Hari yangu mbaya Kwakweli nisaidieni hata kwa mawazo nifanyeje kwa Hari Hii niliyonayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
We unacha!
 
Huyo ni mkeo kweli?we ulitakiwa uwe na PIN ya ATM unaenda unachukua mwenyewe halafu unamgawia.Ndio maana ya mke.Kama hufanyi hivyo basi kuna tatizo kubwa sana
 
Hahahahahaha kibao kimegeuka Wanawake wanatakiwa kuwaachia Wanaume hela ya matumizi.
 
Haukuwa na akili pesa yote ya mshahara ulikuwa unakula bila kuweka akiba. Yeye ulikuwaje unamjazia mafuta ilhali yeye alikuwa na kazi na kukuzidi mshahara. Je hio kazi haujapewa hata kiinua mgongo. Majito ni mjukuu ulimdekeza wife vibaya Sana sasa ndio matokeo yake.wajanja washaanza Kula mzigo Pambanena na Hali yako. mwombe hata mtaji uwe untembeza hata mitumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotucost wanaume ni ile hali ya mapenzi ya kitamthilia ya kifilipino. Unamchukulia mwanamke km ni kila kitu kwako na ukishamdekeza ndiyo kasheshe linapoanzia. Siku zote hakikisha mwanamke ndiyo anakumiss, yy awe wa kwanza kukupigia simu. Babe hii ni hatari. Hapo cha kufanya auze laptop apate mtaji wa biashara. Watu humu JF wanaandika kila siku ishi na mwanamke kwa akili lkn hawasikii. Na usitegemee pesa ya mwanamke hata siku mmoja hata km akiwa raisi.
Siku zote iko hivi
1. Ukiwa na elimu ya 4m4 usitafute mwanamke wa anayekuzidi elimu
2. usitafute mwanamke anayekuzidi pesa au mshahara
3. Usimsomeshe mwanamke ukiwa una elimu ya 4m4 au yyte ambayo baada ya kumaliza mwanamke atakuzidi elimu
4. Hakikisha mwanamke uliyenaye umemchunguza vizuri kbl ya kuoana sbb mwanamke ni rahisi kubadilika akipata pesa. Akiwa manager kampuni fulani atataka awe na mtu mwenye hicho cheo au anayemzidi
5. Hakikisha unamzidi pesa hata km atakuzidi hakikisha umejiwekea akiba ya pesa na pia uwe tayari kwa jambo lolote.
NI RAHISI SANA MWANAUME KUISHI NA MWANAMKE ASIYE NA KAZI NA MWENYE ELIMU YA STD 7 ILA NI NGUMU SANA MWANAMKE KUISHI NA MWANAUME ASIYE NA KAZI, PESA AU ANAYEMZIDI ELIMU NI KM NGAMIA KUPITA KTK TUNDU LA SINDANO NA UKIONA HIVYO UJUE ANAMTUMIA ILI KUFANIKISHA MAMBO YAKE.
 
Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza.
Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri.

Mara baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni moja ivi ya wachina, baada ya kufanya kazi kwa miezi kadhaa nikaona bora nimuite Mke wangu tuje tuishi Wote Kwani Wakati huo nilikua nimejitisheleza.
Wakati huo Mke wangu alikua Hana ili wala lile japo alishafanya interview nyingi tu lakini bado hakubahatika kupata kazi, kwa kipindi chote hiko Mimi nafanya kazi nilikua namtia moyo, kipindi chote hiko nafanya kazi hajawai kulala na njaa wala fashion yeyote kumpita.

Baada ya kukaa nyumbani takribani mwaka mzima bila kazi, Nakumbuka 11th mwezi 3 alifanikiwa kupata kazi kwenye taasisi moja ivi, Kwakweli turifurahi Sana hiyo siku, turimshukuru mungu kwa tusimamia na kupata kazi sote,.

Maisha yalienda tukiwa na furaha japo Kuna vitu vilinitatiza, japo Mke wangu anapokea mshaara Mkubwa Mara mbili yangu ila majukumu Yote ya kifamilia nilikua nayatekeleza Mimi, pesa yake sijui alikua anapereka wp Yaani hata gari anayotumia yeye Mimi ndie nilikua namjazia mafuta.

Kisanga kilianza baada ya mkataba wangu na wale wachina Kuisha, mwanzo mambo yalikua mepesi Mke wangu alinishauri na kunitia moyo, alikua anarudi kazini mapema japo kuna kazi nilikua nimeshazifanya km kufua, usafi wa nyumba n. K akirudi yeye kabla hata hajapumzika hunipikia chakula cha Jioni, asubuhi kabla hajaondoka huwa ananiachia kiasi cha pesa ya matumizi,,

Toka ile kazi imeisha yapata miezi minne sasa, nieleweke Sio kwamba kipindi chote hiki nimekaa tu nyumbani, nimehangaika na vyeti ofisi mbalimbali kutafuta kazi, Muda mwingi nipo na laptop yangu nafanya interviews online, kokote nikisikia Kuna nafasi za kazi mm huwa wa kwanza.

Shida kwa Mke zilianza takribani mwezi sasa, kidogo kidogo nikaanza kuona mabdiliko, akawa anachelewa kurudi, akirudi hanipikii anadai amechoka ivo ananipa pesa nikale mghawani na yeye anadai hajisikii kula, ila asubuhi lazma aache ela ya matumizi kwasababu anajua Sina ujanja wa kupata pesa.

Tumeenda ivyo mpaka majuzi Hari imeanza kuwa mbaya, akirudi hapiki wala hanipi pesa ya kwenda kula mghawani, mbaya zaidi asubuhi anaondoka aachi chochote,
Tena Jioni akirudi Hana hata Muda wa kunitazama yeye anaoga na kulala, Hataki hata kujua nimekula nini.

Naandika ivi toka Jana sijala, nyumbani Siwezi kupiga simu kuwaomba pesa kwasababu wanajua Mke wangu anafanya kazi mzuri tu.

Hari yangu mbaya Kwakweli nisaidieni hata kwa mawazo nifanyeje kwa Hari Hii niliyonayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom