Mke wangu haachi pesa ya matumizi

Mke wangu haachi pesa ya matumizi

Ungeweka na namba yako ya simu tukuchangie nauli ya kurudi kwenu mkuu.
 
Unaelekea huku
Dvh4CpeX0AAZDO5.jpg
 
Uzi wa kwanza mke wa kaka hataki kunifulia

Uzi wa pili mke wangu aniachii hela ya kula
kama uzi zote hizi ni zako je story ipi ni yako na ni ya ukweli??
 
Ni mwaka wa Pili sasa tupo kwenye ndoa, nimejuananae toka tupo chuo mwaka wa kwanza.
Tuliishi pamoja ghetto hadi tunamaliza chuo, ivo namfamu vizuri Mke wangu na yeye ananifamu vizuri.

Mara baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni moja ivi ya wachina, baada ya kufanya kazi kwa miezi kadhaa nikaona bora nimuite Mke wangu tuje tuishi Wote Kwani Wakati huo nilikua nimejitisheleza.
Wakati huo Mke wangu alikua Hana ili wala lile japo alishafanya interview nyingi tu lakini bado hakubahatika kupata kazi, kwa kipindi chote hiko Mimi nafanya kazi nilikua namtia moyo, kipindi chote hiko nafanya kazi hajawai kulala na njaa wala fashion yeyote kumpita.

Baada ya kukaa nyumbani takribani mwaka mzima bila kazi, Nakumbuka 11th mwezi 3 alifanikiwa kupata kazi kwenye taasisi moja ivi, Kwakweli turifurahi Sana hiyo siku, turimshukuru mungu kwa tusimamia na kupata kazi sote,.

Maisha yalienda tukiwa na furaha japo Kuna vitu vilinitatiza, japo Mke wangu anapokea mshaara Mkubwa Mara mbili yangu ila majukumu Yote ya kifamilia nilikua nayatekeleza Mimi, pesa yake sijui alikua anapereka wp Yaani hata gari anayotumia yeye Mimi ndie nilikua namjazia mafuta.

Kisanga kilianza baada ya mkataba wangu na wale wachina Kuisha, mwanzo mambo yalikua mepesi Mke wangu alinishauri na kunitia moyo, alikua anarudi kazini mapema japo kuna kazi nilikua nimeshazifanya km kufua, usafi wa nyumba n. K akirudi yeye kabla hata hajapumzika hunipikia chakula cha Jioni, asubuhi kabla hajaondoka huwa ananiachia kiasi cha pesa ya matumizi,,

Toka ile kazi imeisha yapata miezi minne sasa, nieleweke Sio kwamba kipindi chote hiki nimekaa tu nyumbani, nimehangaika na vyeti ofisi mbalimbali kutafuta kazi, Muda mwingi nipo na laptop yangu nafanya interviews online, kokote nikisikia Kuna nafasi za kazi mm huwa wa kwanza.

Shida kwa Mke zilianza takribani mwezi sasa, kidogo kidogo nikaanza kuona mabdiliko, akawa anachelewa kurudi, akirudi hanipikii anadai amechoka ivo ananipa pesa nikale mghawani na yeye anadai hajisikii kula, ila asubuhi lazma aache ela ya matumizi kwasababu anajua Sina ujanja wa kupata pesa.

Tumeenda ivyo mpaka majuzi Hari imeanza kuwa mbaya, akirudi hapiki wala hanipi pesa ya kwenda kula mghawani, mbaya zaidi asubuhi anaondoka aachi chochote,
Tena Jioni akirudi Hana hata Muda wa kunitazama yeye anaoga na kulala, Hataki hata kujua nimekula nini.

Naandika ivi toka Jana sijala, nyumbani Siwezi kupiga simu kuwaomba pesa kwasababu wanajua Mke wangu anafanya kazi mzuri tu.

Hari yangu mbaya Kwakweli nisaidieni hata kwa mawazo nifanyeje kwa Hari Hii niliyonayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa division zero
 
1. Mme ni kichwa cha familia.
2. Tuishi na wanawake kwa akili.

Hayo ni maneno ya kitabu kitakatifu.

Hana mapenzi ya dhati kwako, hata kama ungekua unafanya kazi bado alihitajika kuchangia matumizi ya nyumbani

Wanawake ifike mahali tubadilike, hivi una mshahara unasubiri hadi mwanaume akuwekee mafuta ya gari unayoendesha

Kimsingi mimi nikipata mshahara huwa napitiliza moja kwa moja sokoni nahakikisha chakula cha mwezi mzima ndani kipo, diapers za mwezi mzima, maziwa ya watoto na mahitaji ya ndani kiujumla na Mume wangu ameshazoea kwamba mahitaji ya ndani huwa nafanya mimi halafu yeye anahangaika na ada za watoto na kama kuna jambo la ziada huwa tunakaa tunajadiliana na tu aweka nguvu pamoja

Kifupi sijawahi kumuomba Mume wangu hela ya matumizi, huwa anaacha pesa ya kutosha bila kuombwa na pamoja na kwamba kila kitu kipo ndani lakini anaacha pesa ya matumizi,

Maana ya maidha ya ndoa ni mnasaidiana sio kumbebesha mwenzio mzigo mzitoo unamzeehsa buree

Na hakuna maisha ya raha kama ya kusaidiana na kushirikiana katika majukumu, sio maisha magumu ni mepesi na mnafurahia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukua ela ya mwanaume ni ya familia na ela ya mwanamke ni yake haikuhusu huo ndio ukweli..Kuoa ni kujipa matatizo yasiyo ya lazima cha msingi Fanya pambana ukijua una fight kwa ajili yako na mamako full stop..
 
Yaani wanawake sisi sijui ni nature sijui ni kitu gani!!
Mwanaume atakuhudumia wewe hata na ukoo wako ila ikitokea yeye ametetereka tu sasa duuuh
 
Back
Top Bottom