Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,981
- 14,752
Ishu mezani ni single mama, kazi ya uaskari kama yupo single unaweza kufuata process ukapiga chini akatafuta kazi nyingineNiliwahi kusikia katika wanawake hupaswi hata kujihusisha nao katika ndoa ni askari (iwe polisi au jeshi) sikupewa sababu ila baada ya utafiti wangu nikapata majibu wanatafunana sana