Mke wangu anataka kurudi kwao

Mke wangu anataka kurudi kwao

Bwana Yesu asifiwe! Mtu wa mungu nakushauri urudi tena kwenye maombi ya nguvu huenda mungu akakufunulia tena mdogo wao mwingine!.......Na huenda mungu akakufunulia wadogo zake wote hadi uzae nao wote

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa JF will never be boring...
 
Wadau shalom

Bwana asifiwe

Mwaka 2014 mke wangu aliingiwa na tamaa yeye na wenzie wakajitenga na kanisa wakaenda kufungua huduma yao mahala pengine, hawakua na eneo hivyo wakawa wanatumia darasa la Shule ya msingi hadi sasa wako humo, aliendelea kuishi na mm kwa miezi kama 2 hivi baadae akabeba kila chake akaondoka

Baada ya mwaka Bwana akawa amenifunulia nichukue mdogo wake ambae yeye hakuhama kanisa kumfuata dada yake, basi tangu mwaka Jana mwezi may tunaishi pamoja na huyu mdogo wake Kutokana na MUNGU kutufunulia hivyo katika maono, kukawa na kama mgogoro hivi maana ukoo wao wote waliamia kule kwa mke wangu wa awali pamoja na wakwe zangu wanaabudu huko sasa hivi,

Hivi karibuni mke wangu mpya anadai amechoka na ugomvi na amechukiwa na wazazi wake kwa sababu amebaki kwangu sasa ameona hawezi kuendelea hivi, hivyo yeye ameona arudi ahamie kwa dada yake Ingawa ana mimba yangu kubwa tu, anasema ameona akapatane na dada yake akaenda kuomba msamaha , hawawezi kuishi kwa uhasama, hivyo akawa ameondoka mwanzo wa hii wiki,
Nikawa nimeomba kikao nao wote kujua hatma ya watoto wangu wawili na huyo ambae hajazaliwa, wamenijibu hovyo sana kwamba Sina changu, ila huyu mjamzito inaonekana yy anasukumwa tu bado ananipenda

Hata Kuna wakati nilisingiziwa kutembea na mke wa muumini wangu kumbe ni yule aliekua mke wangu aliehama kanisa ndie pamoja na wenzie wachache ndio walitengeneza Mpango ule ili niondolewe kama mchungaji mkuu iliposhindikana ndipo wakaenda kuanzisha huduma yao, lakini MUNGU akanipigania bado huduma yangu ndio kubwa wao bado wanasali kwenye darasa, sasa wameamua wamrubuni huyu binti (mke wangu wa sasa) na wamemtoa wanae huko wanadai watamtenga hivyo akaogopa, ila kwa kweli mm nampenda sana, tangu ameondoka jumatatu naumwa homa kali sana, sijatoka hata ndani, sikua najua nampenda huyu binti kiasi hiki alivyoondoka juzi

Sasa watu wa MUNGU sijui mnanishauri nifanyeje, niweze kupata haki yangu bila kudhuru image ya kanisa letu, na huyu binti nifanyeje aweze kurudi maana hata kula imekua shida kwangu,
Sasa hivi wamenibadilishia kibao wanadai nimemsaliti ndoa kwa kuchukua mdogo wa mke wangu wakati yeye ndie alikimbia nyumba
wewe ni mtumishi wa shetani, tena shetani mwenye mapembe yaani yule lucifa mwenyewe! na sijui wewe ni mchungaji wa dhehebu gani! mchungaji mzinzi! mkeo wa kwanza yupo sahihi na ndio maana aliamua kujitenga na wewe mzinzi mchafu na muabudu ibirisi! nenda zako uko! unaongea utumbo hapa! mshenzi wa tabia wewe!
 
Aisee hata kama utani
Ila kwa ili umekaribisha hukumu nyumban kwako Na katika maisha yako usipo tubu
 
Muombe shetani aendelee kukufunulia tu hizo chupi za ndugu wa mkeo
 
Wadau shalom

Bwana asifiwe

Mwaka 2014 mke wangu aliingiwa na tamaa yeye na wenzie wakajitenga na kanisa wakaenda kufungua huduma yao mahala pengine, hawakua na eneo hivyo wakawa wanatumia darasa la Shule ya msingi hadi sasa wako humo, aliendelea kuishi na mm kwa miezi kama 2 hivi baadae akabeba kila chake akaondoka

Baada ya mwaka Bwana akawa amenifunulia nichukue mdogo wake ambae yeye hakuhama kanisa kumfuata dada yake, basi tangu mwaka Jana mwezi may tunaishi pamoja na huyu mdogo wake Kutokana na MUNGU kutufunulia hivyo katika maono, kukawa na kama mgogoro hivi maana ukoo wao wote waliamia kule kwa mke wangu wa awali pamoja na wakwe zangu wanaabudu huko sasa hivi,

Hivi karibuni mke wangu mpya anadai amechoka na ugomvi na amechukiwa na wazazi wake kwa sababu amebaki kwangu sasa ameona hawezi kuendelea hivi, hivyo yeye ameona arudi ahamie kwa dada yake Ingawa ana mimba yangu kubwa tu, anasema ameona akapatane na dada yake akaenda kuomba msamaha , hawawezi kuishi kwa uhasama, hivyo akawa ameondoka mwanzo wa hii wiki,
Nikawa nimeomba kikao nao wote kujua hatma ya watoto wangu wawili na huyo ambae hajazaliwa, wamenijibu hovyo sana kwamba Sina changu, ila huyu mjamzito inaonekana yy anasukumwa tu bado ananipenda

Hata Kuna wakati nilisingiziwa kutembea na mke wa muumini wangu kumbe ni yule aliekua mke wangu aliehama kanisa ndie pamoja na wenzie wachache ndio walitengeneza Mpango ule ili niondolewe kama mchungaji mkuu iliposhindikana ndipo wakaenda kuanzisha huduma yao, lakini MUNGU akanipigania bado huduma yangu ndio kubwa wao bado wanasali kwenye darasa, sasa wameamua wamrubuni huyu binti (mke wangu wa sasa) na wamemtoa wanae huko wanadai watamtenga hivyo akaogopa, ila kwa kweli mm nampenda sana, tangu ameondoka jumatatu naumwa homa kali sana, sijatoka hata ndani, sikua najua nampenda huyu binti kiasi hiki alivyoondoka juzi

Sasa watu wa MUNGU sijui mnanishauri nifanyeje, niweze kupata haki yangu bila kudhuru image ya kanisa letu, na huyu binti nifanyeje aweze kurudi maana hata kula imekua shida kwangu,
Sasa hivi wamenibadilishia kibao wanadai nimemsaliti ndoa kwa kuchukua mdogo wa mke wangu wakati yeye ndie alikimbia nyumba
Endelea kuomba siku sio nyingi atakufunulia kwa mamako mzazi au ndugu zako na dada zako kuwa uwatie mimba,uwaoe uanzishe nao kanisa,jina lako ndio linalokuletea matatizo,badili jina ushakuwa mtu mzima una uhuru wako ,masumbuko ndio nini!
 
Siku ukiona mke wako ameanza kwenda kwenye haya makanisa kaa tayari kwa vita yaani jipange tu tena unakuwa si ule uchokozi wa malawi kwa Tanzania ni vita tayaru
 
hivi kuna watanzania wapumbavu wanaosali na kutoa sadaka kwenye makanisa yanayochungwa na jitu kama hili?
 
Huyo mtu jamani amesema Bwana asifiwe! Ni bwana gani asifiwe?? Halafu pili watu wana stress za maisha wanapiga mswaki mchana kutwa! Kwahiyo humu wanaingia kuvuta muda! Hawa ni wa kuwasamehe tu bila gharama! Halafu huu mtindo wa kumkashifu Almight God upigwe upigike ! Mungu hashirikiani na wazinzi ptuuu! Mchungaji wa kondoo
 
Hahaaa, pastor is too forward,.. Kaona kwa spidi ya mwendokasi achkue mdogo wa wife, teh teh makanisa ya kiroho katika ubora wa wachungaji wao,..usijali masumbuko ipo siku yataisha may be utafunuliwa na mdogo wake mwingine
 
Back
Top Bottom