Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 770
- 733
Duuh! 😂Wewe! Unajua ndio kwanza una miezi 2 humu.....Jaribu kuwa familia na threads za humu kwanza,Utahama humu.
Kila kitu kina muda wake mkuuTafuta shughuli za kufanya uwe busy na kazi upunguze kuwaza ngono. Ili hizo mara chache utakazofanya zikutoshe.
Anafanya Ngono Kama Chakula Lazima Achoke, Hajui Suala Siyo Kula Na Kushiba Unamwita ChumbaniTafuta shughuli za kufanya uwe busy na kazi upunguze kuwaza ngono. Ili hizo mara chache utakazofanya zikutoshe.
mi sijaitaja KASULU lakiniAnafanya Ngono Kama Chakula Lazima Achoke, Hajui Suala Siyo Kula Na Kushiba Unamwita Chumbani
Nilikuwa Kasulu Wanaume Wakishiba Wanawaita Wake Zao Ndani, Ngono Mimba
Fanya kazi uchoke uone kama utaukumbuka huu uzi.Kila kitu kina muda wake mkuu
Aende Majembe Auction Mart, Adaiwe Na PlatinumFanya kazi uchoke uone kama utaukumbuka huu uzi.
😂 😂 😂 😂 Na wee jisifieHaya tumekusikia kuwa hata kimoja tu huwezi. Fikiri, ka ni kweli. mtu mwenye msuguo huo, miaka 3 una katoto ka 2 yrs. Kweli tamaa za moyo hatari sana. Umeshindwa kumkidhi mkeo bado mu wageni hivi. Ungekuwa unamkojoza kihivyo hapa ungekuja na andiko kuwa tukufundisheje namna ya kukojolea nje kwani kila mwaka ni mtoto. Leo ungelikuwa na watoto 3+.
Acha misifa ya kitoto
Mkuu mbona waleta picha za pyramids hapa?!!
Huu ndio ukweliMajukumu yakiwa mengi mbona utaona jinsi swala na kujuana na mkeo linavyopunguza kasi. Kuna nyakati msipoangalia aweza kuwa kama sister yako, manake mnajuana kwa kubeep.
Majukumu ni kitu kingine kabisa...