Mke wangu anapenda kusikiliza taarab

Mke wangu anapenda kusikiliza taarab

Ni mjamzito usimuudhi ikiwezekana muongeZee CD mpya za mzee yusuph
 
wadau mi nimeoa juzi kati ila kinacho nipa shida wife anapenda kusikiliza taarabu, afu ana mimba yangu, tukikosana anatumia yale maneno ya nyimbo za taarabu kama kunisuta vile. Nitupe izo CD na Flash ama?

qwikwiiiiii
Atazaa mwimbaji mzuri wa taarab.
Hongera
Qwikwiiii
 
Back
Top Bottom