MmmmhMruhusu ili umuone katika rangi ingine
pengine ni wale wenye kichaa cha harussi
usipomruhusu kinyongo milele
Ahahahahah jamaa unaharibu kabisa.Mruhusu akacheze wambambie bambie
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahah jamaa unaharibu kabisa.
Kama nakuona vile lengo lako
Una umri gani?Habari wakuu
Nimepata changamoto ya kimaamuzi hapa katika familia yangu hii ambayo nimedumu tangu nioe ni yapata mwaka mmoja sasa
Hivi majuzi mke wangu aliniletea ombi akihitaji nimpe kibali cha kwenda kucheza katika harusi ya kaka wa rafiki yake inayokwenda kufanyika mwanzoni mwa mwezi November
Jibu nililompa ni kwamba asubiri nitampa majibu lakini imekua kero muda wote anakumbushia nimpe ruhusa kwani muda huu wameanza kushiriki mazoezi ya steps na nyimbo mbalimbali
Wakuu hivi ni sawa mke wa mwanaume kwenda kucheza kwaito na mastep mengine mbele za watu?
Naombeni majibu ili Leo apewe majibu maana muda huu ndio narudi nyumbani
Mwache ajichanganye tu, atapatafuta Ustawi wa jamii yeye mwenyewe!Huu mtego ukikosea tu maamuzi umekula kwako mkuu!!
We mruhusu tu kuzoea kucheza kwenye maharusi ili baadae aje awe mnenguaji wa wazee wa NgwasumaHabari wakuu
Nimepata changamoto ya kimaamuzi hapa katika familia yangu hii ambayo nimedumu tangu nioe ni yapata mwaka mmoja sasa
Hivi majuzi mke wangu aliniletea ombi akihitaji nimpe kibali cha kwenda kucheza katika harusi ya kaka wa rafiki yake inayokwenda kufanyika mwanzoni mwa mwezi November
Jibu nililompa ni kwamba asubiri nitampa majibu lakini imekua kero muda wote anakumbushia nimpe ruhusa kwani muda huu wameanza kushiriki mazoezi ya steps na nyimbo mbalimbali
Wakuu hivi ni sawa mke wa mwanaume kwenda kucheza kwaito na mastep mengine mbele za watu?
Naombeni majibu ili Leo apewe majibu maana muda huu ndio narudi nyumbani
Sijui kwa nini wake wanaochungwachungwa na wanaume wenye wivu
huwa 'wanaliwa sana huko nje' kuliko wale ambao waume zao hawana time kabisa
Ana mafukunyuku??Image ya mke wangu pamoja na mimi nahisi itaporomoka mkuu
Mke anachezaje harusini, napata tabu kidogo