Mke wangu ananiumiza kichwa

Mkuu ulishauziwa mbuzi kwenye gunia , cha msingi mwambie ukweli wa ulioyaona na mpe last warning, tembeza makofi kidgo then endelea nae with intensive care
 
Mfungie hiyo Fb alafu tafuna line kisha mnunulie nokia ya tochi itakua umempotezea mawasikiano.mstukizie
 
Mmmh pole sana.,huyo mwanamke hajitambui aisee na ni jipu huyo
 
Muibie hiyo simu na wasione tena na akanunua nyingine fanya hivyohivyo tu alafu ukifanikiwa awe na simu ya kwaida tu.
 
Mhh pole asa na yy alikupaje password ya account yake wakati anajua madudu yake?
 
Mhh pole asa na yy alikupaje password ya account yake wakati anajua madudu yake?
Hakunipa password bali account nilimfungulia mie na sikuwahi kufatilia...account yake ikasumbua na akawa hana ujanja kabisa ndio akaniambia nimrekebishie na kumbadilishia password ndio hapo hayo yote yakaibuka Mkuu wangu
 
Hakunipa password bali account nilimfungulia mie na sikuwahi kufatilia...account yake ikasumbua na akawa hana ujanja kabisa ndio akaniambia nimrekebishie na kumbadilishia password ndio hapo hayo yote yakaibuka Mkuu wangu
Pole sana mkuu,Sema na nafsi yako km unaona unaweza kumsamehe msamehe tu inawezekana alikuwa anafanya utani tu huko fb au kafanya kweli
 
Mchumba hasomeshwi! Nani alikudanganya kufanya hivyo? Ww hujui chura yupo juu ya mtungi mwache aruke sense zake ila kila ndoa inajaribu lake komaa tu.
 
Mkuu mchumba hasomeshwi....nimegundua usimuwekee maskini dhamana
 
We jamaaa ulikosea ulimfungulia account bila kumfundisha namna ya kutumia mi waifu nimemfundisha kublock na haipiti wiki ama siku chache nimekagua mawasiliano yake kuanxia fb, wassap adi mesej za kawaida sm yake kiujumla sasa wewe umempeleka waifu fb unafikiri atachat na nan
 
Inauma cause sijawahi kumsaliti tangu niwe nae ingawa vishawishi vingi lakini najivunia kuwa na Mke kama yeye halafu suddenly nakuja fahamu jambo hilo Inauma kupita maelezo kiongozi

Hivi biblia na quran zimesemaje juu ya mwanamke au mwanaume mzinzi ? , kafanye reference kidogo ndugu
 
Mrudishe kwao mkuu akikiri kosa na kuomba msamaha msamehe na mwende mkapime HIV,,,,
 
Ni wako huyooooo umempanda mwenyewee[emoji446] [emoji350] [emoji351] [emoji448] [emoji447] [emoji449] [emoji449] [emoji447] [emoji447] [emoji447] [emoji448] [emoji100] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Duuuuh kampanda mwenyewe kwa hiyo sasa hivi ameshushwa na wengine wanapandishwa,Mulhat acha hizoo,vipi habari za huko Karatu hawajambo?
 
madem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuu

btw ai mis yu

Kama ni demu wa kimbulu ni kawaida yao maana hata mimi nilishawahi kuwa na demu wa kimbulu akaniacha kwenye mataaa
 
Poleh payback time ulivochezea watoto wa watu ukadhani utachomoa kwa mkeo?
Why u looking for Angels wakati ur a devil?unataka mke awe malaika asiwena kasoro we ukoje?anyway futa hio fb afu mkanye hujapenda ulichokiona mwambie iwe mwanzo na.mwisho
 
Wanaume are the most selfish ikija kwenye swala la uaminifu, wengi wao ni wahuni hujapata ona yet they want a faithful angel at home, bad enough they mistreat her sometimes,mnadhani ana moyo wa chuma??she will cheat too akipata nafasu
Maumivu ya kukosewa uaminifu asikwambie mtu Acha tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…