Mke wangu ananiumiza kichwa

Mkuu..
Hapa hakuna chakukushaurii..
Kwa maelezo yako, Mkeo tiyari kashaonja miLibolo ya vijana, kurudi kwake nyuma ni miujiza..

Wewe endelea Kujitwanga/kitwanga Pombe..
 
Punguza hasira kwanza then uongee nae mayb ni mambo ya mtandao tu...
 
Option ya kwanza to me is preferred! Evelyn are you married? Can you take the second option. Anyway, kwa wanawake mnakutana nayo sana mume kuwa na hawala nje wachache wanaondokaga na kuvunja ndoa! Kwa mwanamume Mh!!!!!!!!!
Married
Siwezi kuvunja ndoa kisa mme wangu kamfanya mtu huko.... May be nichoke na mfululizo wa makolokocho kibao ila sio hicho tu
Watu wana cheat bana huu ndo ukweli, wengine wanafanyia humo humo ndani mnapolala ukijua inauma, ni kujipa muda tu na kusemahe
Inahitaji pia highest level of uvumilivu
For the sake of my son sahivi hata iweje siondoki wala sivunji ndoa sipo tayari kumuona mwanangu akilelewa na mama wa kambo wala sipo tayari apate mdogo ake kutoka kwa baba mwingine nooo
Ngoja nisiongee sana mme wangu akafanya yake nibaki nalia tu kamasi zinitoke ha ha ha ha ha
Ila nasisitiza kusalitiwa kupo sana tuuu ukimuacha mwenzio kisa kakusaliti hata utakaempata atakusaliti tuuu
 
Ha ha ha ha ha subiri nae roho mtakatifu amuingie sasa... Mbona unakua mbinafsi lol
BADILI TABIA njoo umshauri huyu jamaa
 
Usijali mkuu nitakupa dawa,
Kwanza pole na maumivu lkn pia kumbuka jasili ahachi asili, hawa wanawake wa ki mbulu wengi wao hawajatulia cha msingi achana naye fanya mambo mengine, fungua ACC ingine Facebook then mtongoze pia mwisho wa siku jifanye kusafiri then tumia ile ACC ya Facebook kuchati naye umwite guest akijiroga akaja tu bas mpe talaka yake.
 
Kila kabila wanatabia zao za kiasili ambazo wamerighi au wameona kutoka kwa wakubwa zao, hakujaharibika jambo kwa kuwa ndio umeshaoa mke inabidi ujifunze kutambua tabia zao ili utambue jinsi ya kukabiliana na changamoto zake..

Kwenye facebook na watsapp ni kawaida sana mwananamke kutongozwa na kuchat na wanaume pia lakini haimaanishi ndio amefanya hicho kitendo au amesaliti ndoa..ni hobby tu ya mtu kuchat hasa ukizingatia muda mwingi yupo bored nyumbani na ww umesafiri,

kwa hiyo kwenye kuchat kusikushtue sana, vijana wa siku hizi ni wabishi sana kwenye kutongoza watu fb ila mapenzi ya fb watu wanatongozana, wanapendana na kuachana bila hata kuonana..usipeleke hisia zako mbali kwamba vijana wa mtaani wameshampitia tayari
 
Mkuu nashukuru kwa mchango wako mzuri...Nina kaka yangu mkubwa alisota miaka ile kusoma, alipomaliza Azania akapigana mpaka akapata ufadhili kusoma degree India. Akarudi Mwaka 1998 akaajiriwa akawa njema, akaacha kazi Mwaka 2004 akafungua kampuni yake ya engineering maana ndio alichosomea, Mwaka 2006 akaoa mwanamke aliyezaa nae alikuwa chotara baba muingereza mama mgogo..ndoa ikaenda kumbe mwanamke kiwembe akamletea ukimwi ndani...mshtuko ule bro akaanza kutumia dawa na ushauri toka kwa wataalamu.. 2012 akaingia kanisa la wachungaji uchwara waliodai wanaponya ukimwi kwa jina la Yesu, wakamshauri aache dozi wapige maombi ugonjwa upotee...tumemzika 2014 na hustle zake, elimu yake, kila kitu simply ngoma. Nikiwaza hayo nazidi kuumwa kichwa maana naogopa sana huo ugonjwa especially mtoto wangu bado mdogo na sijamuandalia msingi mzuri wa maisha mpaka ukubwani iwapo nikifa leo ndio maana naumwa na kichwa
 
Pole ya kawaida hayo, ongea nae delete hiyo account Facebook, jipe muda maumivu yapungue msamehe maisha yaendelee.....
madem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuu

btw ai mis yu
 
Pole sana kwa kufiwa.... Apumzike kw Amani

Sasa kama unaogopa ngoma mbona umesema ulikua mabaya mbwa teh
Najua maumivu uliyonayo, pole pimeni na afya jipe muda maumivu yapungue tu umsamehe
Au nikufariji fariji kipindi hiki? 😀
 
madem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuu

btw ai mis yu
Hiyo stereotype
Mi najua kila mwenye mbunye anaigawa, usiwaseme vibaya mawifi zangu ha ha ha ha ha
 
Pole sana kwa kufiwa.... Apumzike kw Amani

Sasa kama unaogopa ngoma mbona umesema ulikua mabaya mbwa teh
Najua maumivu uliyonayo, pole pimeni na afya jipe muda maumivu yapungue tu umsamehe
Au nikufariji fariji kipindi hiki? 😀
Kipindi hicho bado hatujajua bro ana ngoma maana aliifanya siri sana mpaka 2013 ndio anakuja kuweka wazi baada ya kuingia makanisa uchwara...hahahahhaha eti unifariji, mfariji mumeo mie nina mastres yangu hapa hata kazi haziendi nimeegemea kit I nachat tu na kusikiliza miziki nipoteze mawazo maana
 
Mawasiliano ya mitandao ya kijamii siyo halisia wengi wanaigiza na kupritend ila tatizo akitokea mwanaumme mwenye kijiuwezo, aliyegundua madhaifu ya mkeo, ni lazima tu atamgegeda, halafu anayegegedwa atalia kinafiki kujuta kukusaliti huku kayaachia mapaja jamaa linaendelea, mwanamke ni wa kudhibiti hayo mafacebook ya block umpunguzie concentration, nilichat na mke wa mtu ananiambia kama nipo tayari kumjazia mafuta kwenye ki passo chake na kumnunulia kitimoto toroka uje mwili wake wangu, nikapuuzia
 
Duuuuuh hatari....
 
Ndugu ndoa za siku hizi ni tatizo!!!!wewe angalia moyo wako unaamuaje? Wanawake wa aiku hizi ni tatizo siyo wakweli kaka,mi nlikuwa na wa kwangu ndoa kabisa ya kikristo nlitimua ndoa aina hata mwaka ni stress tupu,wanasema kosea kujenga sio kuoa.
 
Mkuu nazani elimu yake ama msaada wako kwake hauna tija maana yote uliyafanya kwa mapenzi yako haina tofauti nabkutoa sadaka msikitini ama kanisani nakuanza kujadili sadaka zako na hapa sidhani muhimu kuuanika. Hoja ya msingi mkeo kicheche.
Mm binafsi nakushauri kwenye swala zima la mahusiano uamuzi unao ww tu sie wengine wapambe hatujui anakusuuza kiasi gani
 
Kubali nikufariji, upo wapi kwanza nije hapo ofisini
 
Mkuu nazani elimu yake ama msaada wako kwake hauna tija maana yote uliyafanya kwa mapenzi yako haina tofauti nabkutoa sadaka msikitini ama kanisani nakuanza kujadili sadaka zako na hapa sidhani muhimu kuuanika. Hoja ya msingi mkeo kicheche.
Mm binafsi nakushauri kwenye swala zima la mahusiano uamuzi unao ww tu sie wengine wapambe hatujui anakusuuza kiasi gani
 
mkuu hujaona kama anatoa mpaka namba?apo napo anapoteza mda tu?
 
Aisee, kiongozi katika vitu ninavyokushauri usifanye ni kumpiga mwanamke kwa vile ametoka nje ya ndoa. Tafuta njia mbadala lakini sio kumpiga mwanamke, unaweza kujikuta ndani ya matatizo makubwa zaidi. Ni bora ujitahidi kutulia na kupunguza hasira ili upate mwafaka mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…