Mke wangu ananiumiza kichwa

Hasameheki


 

Haya mambo yanatokana na upbringing, msiwalaumu sana wanaume wa kiafrika kwa kukosa caring, walivyokuwa wadogo hawakuona baba na mama zao wakiambiana "nakupenda" au "nisamehe mke wangu".

Mambo mengine watu hushindwa kuji tune ukubwani, laiti kama wangeyaona utotoni, wangejifunza na kuyatumia ukubwani. Mfano mimi na kukua kwangu sikuwahi kumuona baba hata kumchumu mama shavuni, hata mara moja, hivyo ni ngumu sana kufanya hivyo mbele ya watoto saivi.
 
Et wengine wanasema democrasia itumike kuanzà kumpleasewanamke hiyo haipo kwa ujinga huo
 
Muv zinawadanganya hao kwani alipokuwa anamtongoza hakuambiwa nakupenda ndo akakubali sasa yanini kurudia rudia neno hilo hilo wakat anajua hata msingi wa yeye kuolewa ulianzia kwenye neno nakupenda
 
Tofauti yake nini, mwanaume anaingia huku mwanamke anaingiziwa kwapani???
Cheating ni cheating tu umeniangusha leo
Nope, I just meant as men we are not used to our wives cheating but we are used to cheating. Its hard when the tables turns aisee...
Its not fair yes, but ndivyo tulivyozoea. Hapo kwa mshikaji hakuna ndoa! Because atarudi kuwa kicheche kama zamani if wakiendelea kukaa pamoja. Si watauana?
 
Maisha hayana definition moja. Kila mmoja ameyaweza kwa namna yake.
 
Najarib kuhisi maumivu yako mana najua maumivu ya mapenzi.Kukaa kimya bila kumwambia ndo unavojiongezea maumivu.Kaa nae umwambie ulichokiona,akiomba msamaha kutoka moyoni kabsa,msamehe na maisha yaendelee mana hata wew unaweza kumkosea pia
 
Bila kuuma maneno.

Hapo ipo clear tu kuwa huyo mkeo hajatulia ni Bitch tu (sory kwa neno hili) Bt lina mpasa.

Maelewano na maongezi ni muhimu katika uhusiano ili kujua kma kuna kitu hakipo sawa kirekebishwe, kama kuna sehem unaenda sivyo
May be ishu ulizo kuwa unafanya nae zaman now hufanyi alitakiwa zungumza ili muweze kwenda vzuri.

Bt huyo kalizika na hayo anayofanya ndio vilivyojaza moyo wake.

Wew Hakuna kuzunguka mbuyu, mweke mezani mfanya hard talks uso kwa uso.
Tena hiwe home kwako huko nje unaweza mcharaza makonde watu wakarecord mkajizalilisha.

La kama unataka endelea naye wew mpe adhabu tu akikiri kosa, ila usije muuuliza kama amewahi cheat au hajawahi.
 
Unajua ndoa ni kama serikali. Sio kila jambo mkuu wa nchi analoambiwa anachukua hatua. Kwanza chukua hatua kupunguza hasira. Mfano ni nenda kakutane na marafiki jichanganye ili utasahau na hasira itapungua. Pili hayo mambo yamekuonyesha aina ya mke uliye oa. Kama ulikuwa hujui sasa ndio unajua. Kwa hiyo chukua hatua ya kujikinga ili asikuletee madhara zaidi wewe na mtoto. Tatu panua wigo wa upelelezi ili upate ushahidi zaidi kama inawezekana. Nne kama ukigundua kuwa ni mambo ya FB basi ongea nae mmalize. Ila ukigundua tatizo ni zaidi ya FB basi kusanya ushahidi na tafuta ushauri wa kwa wazee na kisheria na uchukue hatua utkazo shauriwa.
 
Ni kweli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…