Mkumba Vana
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 416
- 124
Mkeo ana "gubu" kukaa na watu wa hivo ni shughuli akijiskia kununa muda wowote ananuna...
dawa yake: akijifanya bubu we kuwa kiziwi ndio unampenda ila fanya hivo umpe dawa, akiamka kanuna nawe nuna usimsemeshe, jifanye unawapigia simu washkaji "oya mpo wapi nije nipo nipo home nimeboreka" kama huwa hutoki home toka siku hiyo kakae hata nyuma ya nyumba tu uchelewe kurudi....kwa amsha amsha za hivo atacheka mwenyewe tu akinuna tena fanya hivo hivo ataacha.
Aisee mi akinifanyia hivo hata hiyo matumizi simpi kila siku safari za kikazi haiishi,hata simu simtafuti ataanza yeye,hata akinicheat poa namwacha tu alivyo i dont care,baadaye ataelewa somo
dawa ya moto maji, akimwaga ugali mwaga mboga toboa sufuria zima na moto asipike tena pambafff
adhabu za kisaikolojia zinahusu, kama vipi akanunie kwao....wanawake wengine si wa kubembeleza mpaka waone ukingo wa kupewa talaka
huyo ana mchepuko sio bure, huo ukali ni ili usimfuatilie. Mke wangu alikuwa hivo hivo nikazinduka, kufanya utafiti nikagundua ana mtu ten ni mtu wake zamani, na alikuwa anamtaka warudiane aachane na mimi na akajitahidi kwa hali na mali ili tuachane kwani anadai maamuzi aliyochukua pindi walipokosana yalikuwa ni ya haraka mno kuolewa na mtu mwingine. Hivo alimuahidi kuwa yupo tayari kurudiana hivyo afanye visa vya kila aina.
.......30's menopause?
akiendelea na tabia hiyo, wewe nenda zako live band, halafu uone, huku unapiga kitu cha castle lager bardiiiiiiiii. ukirudi nyumbani mnuno utauona kuwa ni tabasamu aisee.
Hio ya mwisho nini inasababisha kutokuwa na mapenzi tena?
Hali hii hutokea pia mwanandoa anapokuwa amepata pa kupumzikia huko nje, na anaona huko kwampa furaha zaidi ya ile aipatayo ndani.