Hapo utakuwa unamkomoa nani?sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa
Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani
Sasa nataka nimfanyie uspy wa kutisha ili nijue na mimi nianze kuchepuka au la na kuna mfanyakazi mwenzie huwa naona wanawasiliana sana kwa simu nikikagua cm yake na yeye huwa anamponda sana huyo jamaa mpaka nashindwa elewa sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa

Anazisoma then anakaushakuwa online sio ishu, ishu n je anazifungua na kusoma izo sms halafu anakausha au
Hahahahah unajua jamii forum ni zaidi uijuavyo weweSema unataka kuchepuka.......na si vinginevyo...
Tumia busara kidogo tu na akili nyingine waza hayoKwa hiyo sisi ndo mkeo?
haiui panyaaa sorry Joka no nyokaaa..... hahahaa...wewe una mchepuko tayari.....kwa kifupi unachapiwa,,, kosa lako ni kukagua simu yake,,, kwa mwezi mara mbili duh,,,,unapoteza muda mrefuuu huku kuomba ushauri wakati jamaa yuko chumvini kwa mkeo.....fimbo ya mbali......
washamba sana.... wanajibabaduaga wana misuli ya kupambana na panya road huku ndoa zinawashinda.... madomo zege balaa!Huyu wa mikoani anatuaibisha
Hahahaaa wametisha aiseewashamba sana.... wanajibabaduaga wana misuli ya kupambana na panya road huku ndoa zinawashinda.... madomo zege balaa!
Ni hatari sanaDu! Izi ndoa tuombe mungu to