The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,952
- 117,303
Hongera Mkuu.Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Wacha kujitapa mtaani utakuja kugongewa nyani! Juzi kunankijana amekuja home kushitaki kijana langu la dukani limemgongea! Tulivyolipeleleza likasema alikuwa anajitapa mtaani!Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Ndoa bado changa jipe mda uwajue hao viumbeAnanipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Ila Tundu Lisu naye anapambania kila kitu, unakuta hadi mleta uzi naye anapiganiwa apate haki zake. Mimi nisingekubali huo msalaba.Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Siku tukimpelekea moto ndio akili itakukaa sawaHata saiv nipo hapa shop naandaa zawadi ya kumpelekea mke wangu