Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Oa mke wa tatu akizingua oa wa nne. Akizingua wape talaka anza upya.
Wanaume huwa mnajiua wenyewe na hamjifunzi. Utajua mwenyewe beba zigo lako
 
Habari.

Samanini kwa kuwasumbu tena, ndoa yagu inamigogolo kwa wiki mbili sasa mke wagu mdogo amekuwa akinipa tendo la Ndoa kwa masimango.

Nawomba niseme ukweli tu kwani naamini kuna wakubwa wezagu humu. Amekuwa akinikatia kiuno ka ma ugomvi, wakati tukila chakula cha falaga.

Kwa mfano jana usiku alinifinya sana ni uyu mke mdogo ni musumbufu mno. Kuna muda namkukumbuka mamayagu alivoniusia nasikitikaa sana. Najua kuna wakubwa humu. Mateso mke mdogo ananiletea ni makubwa na sina pa kusemea.

Ni mwanangu tu na Mungu ambariki kwa kunifundisha kutumia Jamii Foroms.

Tutakua pamoja.

Asanteni
Wasimamizi wa ndoa ama viongozi wa dini yako wanajua hili?
 
Acha kulialia wewe, tawala game hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom