Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Abali.
Samanini kwakuwasumbu tena.ndoa yagu inamigogolo kwa wikimbiri sasa.muke wagu mdogo amekuwa akinipatendola doakwa masimago.

Nawomba nisemeukweri tu kwani namini kunawakubwa wezagu umu.
Amekuwa akinikatiya kihuno ka ma ugovi,wakati tukila cha kulacha falaga.

Kwamufano jana usiku halinifinya sana.ni uyu mukemdogo ni mufumbufu mno.
Kuna muda namkukumbuka mamayagu halivoniusia nasikitikaa sana.
Najuwa kuba wakubwa umu.
Mateso mkemudogo ananiletea nimakuba na sinapa kusemeya.

Nimwanagu tu na mugu ambaliki kwa kunifudisha kutumi jami flamuu.
Tuta kua pamoja .
Asateni
Hebu acha ujinga.Mfinye na weye!
 
Kheeeeeh me hata sijaelewa
 
Kama ni mke wa ndoa sina cha kukushaur ila kama unapga kisela kma mm tu piga chini mkuu kuna vitoto vimepata zero vipo sokon mkuu , usisite kujinyakulia apo ata vitatu
 
Habari.

Samanini kwa kuwasumbu tena, ndoa yagu inamigogolo kwa wiki mbili sasa mke wagu mdogo amekuwa akinipa tendo la Ndoa kwa masimango.

Nawomba niseme ukweli tu kwani naamini kuna wakubwa wezagu humu. Amekuwa akinikatia kiuno ka ma ugomvi, wakati tukila chakula cha falaga.

Kwa mfano jana usiku alinifinya sana ni uyu mke mdogo ni musumbufu mno. Kuna muda namkukumbuka mamayagu alivoniusia nasikitikaa sana. Najua kuna wakubwa humu. Mateso mke mdogo ananiletea ni makubwa na sina pa kusemea.

Ni mwanangu tu na Mungu ambariki kwa kunifundisha kutumia Jamii Foroms.

Tutakua pamoja.

Asanteni
Pole mkuu ila kula hivyo hivyo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom