Shikamooosiku nyingine ziweke alama kama kuandika namba kwa mbali au kupaka kawino halafu zipige na picha asubuhi muazime hela akitoa hiyo hiyo muonyeshe picha haafu muambie we ndiyo mwizi wangu
marahabaShikamooo
Hahahaa.... Ni kweli kabisa.Atakuwa anazuga kalewa ili asachiwe...
juu ya meza itapigwa ndoano....Sikunyingine itoe ihesabu afu weka juu ya meza inapoonekana akiwa na yeye anaona au mwambie kabisa nimeweka kiasi flan hapo, utakuwa umemaliza.
Hakikisha umemaliza hela yote kwenye pombe, atakosa cha kukuibia na ugomvi utaisha.Ndugu wana jf nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kuhemea kila kitu cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asbh nikimuuliza anakuwa mkali akidai ela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
Aisee wachaga na hela! Mnajua mbinu zotesiku nyingine ziweke alama kama kuandika namba kwa mbali au kupaka kawino halafu zipige na picha asubuhi muazime hela akitoa hiyo hiyo muonyeshe picha haafu muambie we ndiyo mwizi wangu
Bro huu ushauri unaopewa wenye lengo la kubomoa sio mzuri,binadamu ni dhaifu mtu akikosea haina maana ya kumfukuza au kumwacha,tunafunzwa kusamehe ili nasi tusamehewe.Jambo la msingi siku moja ukiwa hujalewa mwite na umweleze makisa yake,mwambie kila kitu na umsanehe muanze upyaNdugu wana jf nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kuhemea kila kitu cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asbh nikimuuliza anakuwa mkali akidai ela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
hela inalindwa mkuuAisee wachaga na hela! Mnajua mbinu zote