BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Kila nikiongea na mtu mke wangu anajua nimeongea na nani na hata nikichat kwenye Whatsapp huwa anajua. Nimejaribu kuangalia kwenye simu yangu Whatsapp Web lakini bado sijaona kama amehack.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba wenye simu yangu kuna alama kwenye screen si ilewi elewi, sijui ni inatokea wapi kila nikijaribu kuiondoa nashindwa. Nimeweka screenshot hapa chini nimezungushia hicho kialama na rangi nyekundu ili wazoefu muweze kukitambua na mnipe ushauri.