Mke wangu ananifatilia kwenye simu

Mke wangu ananifatilia kwenye simu

Hiyo ni app inaitwa mirroring au screen mirroring. Hufanya Kazi endapo utakuwa within the Hotspot or Wi-Fi range ya simu zenu. Chakufanya nenda settings, screen or display options then deactivate. Otherwise Kama unatumia Samsung, drop down the screen utaiona.

Btw, Kwa nini mchunguzane?
 
Yuko sister yangu amehitaji hiyo huduma nikamwambia dogo naona sasa unataka kurudi nyumbani ukawape shida wazee, achana na hizo vitu na wewe kama unataka jus download apk inaitwa spyhuman ktk google na si playstore kwa mtumiaji wa android kisha install ktk sim ya muhusika, ktk sehem ya kujisajili sajili kwa email yako...yatakauokukuta usinihusishe....fuata maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuweka link hapa ya iyo apk nimeenda google nakutana na maswahiba ya ajabu ajabu
 
Mkuu unaweza kuweka link hapa ya iyo apk nimeenda google nakutana na maswahiba ya ajabu ajabu
Nitaiweka mkuu, nivumilie kidogo kifaa nilichotumia kuingia humu kidogo cha ajabuajabu nikiwa ktk mobile fasta nitakuwekea
 
Lakn kumfatilia mawasiliano ya mwenza n vzur nawaza wakat mwingine kama ikitokea tatzo kubwa hz system za kuhack zinaweza kukuonesha mara ya mwisho aliwasilina na nan na alikuwa wap ko m naona n nzur ila kama ikitumika vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu shemela ana tabia gani hii, kama akiendelea sizani kama mtafka, hv anashindwa kujua kuwa mwanaume ni kama dume ktk zizi, hata kama lipo moja majike yote yatapata mimba[emoji37][emoji37][emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sister yangu amehitaji hiyo huduma nikamwambia dogo naona sasa unataka kurudi nyumbani ukawape shida wazee, achana na hizo vitu na wewe kama unataka jus download apk inaitwa spyhuman ktk google na si playstore kwa mtumiaji wa android kisha install ktk sim ya muhusika, ktk sehem ya kujisajili sajili kwa email yako...yatakauokukuta usinihusishe....fuata maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee, nitakuja na thread mwanamke wa kuoa kabisa ila nimetengua kila kitu AMELIA KAMA MTOTO
 
Back
Top Bottom