Mke wangu ananichanganya

Watu wengine wameoa kufuata itifaki tu, kua binadamu lazima aoe/aolewe!
We ndio mwanaume au yeye? Kama ni yeye anakuonea, kama ni wewe timiza wajibu wako, huduma kwa familia ni kati ya majukum yako.. Pili acha kuwa Duyuth, kama kazi unaona haisaidii familia basi mwambie atulie nyumbani kama wewe kweli una authority na familia yako, exercise your power

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wengine wanagombania gesi wengine pesa basi burudani tu hii dunia:fencing:
 

hivyo vipaumbele endelea kubaki navyo kwapani,duties na responsibilities za ke ni kuhakikisha malezi bora ya familia kuprovide money ni another issue na ni utashi wa mtu sitaki kubishana naww ila tambua aliyeleta uzi anataka nini kisha umjibu unavyoweza kumsaidia.
 
hapo umenena jembe...wanawake wengi hawawezi majukumu ya kifamilia kwa kweli..mwanamke hulka yake ni kuongozwa sio kuongoza...na post zao ni ushahidi tosha kabisa...100% nakubaliana na wewe...
 
Mh! Pole sana ndugu yangu cha muhimu kaa chini na mkeo myapange yapangike ili ndoa isalimike.
 
endelea ebana kama vipi ila hapo kwa wasukuma na kukimbia miji..wasukuma na wanyamwez wanafanana kimtindo so dizain wako sawa kwenye kuhama miji..halafu mamanzi wa kisukuma ni kweli wanapenda ubabe flani hivi..daaah jombaaa umelenga mule mule yan
 

Hiyo ni nadharia tena nadharia nyembamba. Hivi unadhani huyu mwanaume hajawai mshauri mkewe juu ya kuchangia matumizi? Unadhani hicho kiburi cha mke kutoa pesa alikiona wakati wanaomba, wanafanya sex, wanakula chakula au wakati wanajadili kuchangia kuendesha family?.
 
Last edited by a moderator:

Amesema wapi au ndiyo unamuwekea maneno yako mdomoni???
 

Sasa tukusaidie nini ndugu wakati mke ni wako mwenyewe.........kwani wakati akiwa hana kazi ulikua unayamudu vipi maisha. Acha kukimbia majukumu ndugu hudumia familia yako.
 
mfumo dume upo kabla hata ya Kristo lakini kuna mifumo ambayo ni kandamizi kwa karne hii tuliofikia natambua ni muhimu kusaidiana majukumu ya kifamilia lakini mkewe kakataa hivo hawezi kumlazimisha au kutumia mabavu inahitajika busara tu.

hapa ndo huwaga nachoka na mafeminist wa jf. Wanapiga kelele za usawa kila siku aafu kwenye majukumu wanarudi kwenye biblia. Huwa siwaelewi, mkitaka kuhudumiwa kwa kila kitu basi kuweni tayari na majukumu ya ndani ya nyumba!
 
Kaka wacha wanawake vilaza waendelee kuwa vilaza, na wale werevu wandelee kuwa werevu...
Sasa ule ukiri wa kusema namkubali fulani kuishi naye katika shida na raha sijui ndio unakuwepo wapi...
Unaishi na mwanamke akiwa hana kazi anakuwa mnyenyekevu at last anapata kazi anaota mapembe...
MWANAMKE mwenye akili ni yule anayeambatana na MUMEWE katika hali yoyote iwe mvua au jua...

hapo umenena jembe...wanawake wengi hawawezi majukumu ya kifamilia kwa kweli..mwanamke hulka yake ni kuongozwa sio kuongoza...na post zao ni ushahidi tosha kabisa...100% nakubaliana na wewe...
 
hapa ndo huwaga nachoka na mafeminist wa jf. Wanapiga kelele za usawa kila siku aafu kwenye majukumu wanarudi kwenye biblia. Huwa siwaelewi, mkitaka kuhudumiwa kwa kila kitu basi kuweni tayari na majukumu ya ndani ya nyumba!

mmoja wapo ni huyo dada uliyemquote, kupitia comments zake tu utagundua ni aina gani ya mwanamke...
 
....kama kwa miaka tisa uliikubali hali ya wewe kugharimia kila kitu yeye akiwa mama wa nyumbani, shida ni nini miezi nane hii unataka hela yake ichangie bajeti?

Shukuru Mungu mkeo anaweza jitatulia shida zake ndogo ndogo. Wanawake wengine wanalazimika kutafuta kazi ili kuepuka masimango na kusimbuliwa na waume sie...

Stahmili kidogo, ....ni kwa huruma yake tu ndio atapokusaidia si kwa kumlazimisha kaka. Muache azichange change kidogo, zikishamtosha utayaona mabadiliko.


 
Kabla ya kupata kazi ulikuwa unaitunzaje familia? Anyway cha msingi usimlazimishe, unapaswa kukaa naye kwa utaratibu na kumuelewesha na kumshirikisha ktk mipango yenu ya maendeleo. Naamini akielewa, hataweza kwa namna yoyote kugoma kutoa mchango wake.
 

kama hukusoma, huu ndio ulikuwa ushauri wangu...hata mimi mwenyewe sitaki kubishana nawe...

 

That is the proble with this animals (women) you cant live with them, and you cant live without them.

NB: we are all animals with different character and behavoiur
 

Hapa ndio wanaume tunapoanza kujichanganya!!
Nani kakuambia hela za mwanamke ni za kuhudumia familia yako??????

Hela za wanawake zinaliwa kwa maarifa madogo tu ya upendo wa mume na mke, ama kwa fix za kisayansi ambazo hazina madhara na hayaumi, bhaaaaaas!!
Mwanaume ukianza stori za kutamani hela za mkeo, you are finished na utagombana nae taka usitake ama ataanza kutafuta source nyingine ya kujipatia hela eg kutafuta kidumu km sio kindoo, achana nae, mwache afanye kazi thibiti hela kwa remotely, huhitaji kumpangia majukumu, wenyewe watajipangia tu automatically hasa hasa za ki-domestic, wewe mwache, we endelea na projects kubwakubwa zi kimaendeleo, mwache hana pa kupeleka hizo hela, anaweza kuwapa ndg zake, fine, anaweza kununua nguo zake nzuri, fine, anaweza kununua manukato mazuri, fine.............hana pa kupeleka!!

Ushauri wa upole:
Ongeza bidii ujiongezee kipato zaidi ya kipato chake hadi uwe na kipato cha ziada, achana nae utaleta matatizo yasiyo na mwisho mzuri!!
Stand as a man and a leader of the family(sio mfumo dume, its the fact...............kaeni nao kwa makini maana ni VYOMBO vidhaifu---somewhere in the bible)
Ahsante sana!!
 
Ndio zao hizo,jitume tu mzee maana hawarekebishiki,tunawependa kwa urembo wao ukishamuweka ndani ndio utajua kwa nini wanaitwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…