Amna uzazi wa kwanza mapacha na now wana miaka 9 ila uzazi wa pili c mapacha na watatu pia c mapacha ila now ni mjamzito kwaiyo izi ni baraka tu za Mungu...mkuu na co sifa.kuna watu wanaangaika usiku na mchana kupata watoto na awapati sasa kama mm na mke wangu tuna watoto kwann tusione ni baraka za Mungu pia kila mtoto uja na neema yake...by the way hii ni ya mwisho mzee...Dhuuuuu jama unataka tim
Ya mpira
Mkuu sio mbaya nikileta hapa na kipata ishauri kwani hakuna anayenijua mm wala mke wangu sasa nashangaa wanaosema namdharilisha mke wangu wakati hakuna anaye nijua mm wala mke wangu wala familia yangu...Mkuu hizi mambo vipi unsleta hapa?
Sawa hayo ni mawazo yako by the way unijui ckujui why uongee ivyo kama ningekuwa nataka mwanamke c ningenda nunua malaya wanaojiuza uko nimalize aiazangu bac au nitafute mchepuko wowote bac afu pia mm nikitaka mwanamke cwezi tafuta mitandaono uo ni udhaifu mwanaime utakiwi kutafuta mwanamke mtandaoni yani wanawake wote waliojaa mtaami uko malaya wanaojiuza umeshindwa chukua ukapiga ukitafuta mwansmke mtandaoni tafsiri yake ww ni domo zege co jasiri afu pia nampenda mke wangu sana tumetoka mbali sana cwezi tafuta mchepukp au mwanamke mwingine njee sababu najua madhara yake nitaipatabu familia yangu so cwezi...ila asante kwa kuchangia mkuu.Acha zako
Huwezi kumuongelea mke wako namna hiyo
Labda unatafuta wa kukufariji humu
Mke mmoja hatoshi, huu ndio ukweli, kua na mke mmoja ni ukiwa, wanawakee waliojaa bado unang'ang'ania papuchi mojaHivi siku hizi hamna ile Nyota ya kijani?!
Clinic uwa nampeleka mara kwa mara mkuu na ushauri napataga ila c unajua tena sisi wanaume miili yetu mzee jinsi ilivyo tukiwa na hisia ila ok any way nitakitaidi kuvumilia..Umewahi kuhudhulia clinic ya mama na mtoto, kama bado uende ukajifunze changamoto za ujauzito. Mwenzako anapambana na mabadiliko ya mwili na mgeni wake tumboni wewe unawaza unyumba?
Haupo fea jifunze kua na huruma .
Sawa ayo ni mawazo yako ww kwakuwa ww unanijua mm vzr sana afu pia ngoja nikwambia kitu humu jf akuna anayenijua mm wala mke wangu sasa nashangaa unasema eti cwezi zungumzia mambo ya mke wangu humu kwani kuna kibaya gani nilichosema apo nimemtusi wife mm nimesema tuu wife ni mjamzito ila ujauzito huu anipi unyumba wakati uzauzito aliokuwa anabeba zamani alikuwa akinipa unyumba sasa why useme ni upuuzi wakati mm nimetoa ya moyoni mwangu ungetakiwa tuu unishauri bro fanya ivi au fanya ivi c kunizungumzia mm kama vile unanijua sana wakati hata kunijua unijui nina watoto wa4 ila mke wangu kajifungua mara 3 na c mara 4 mana uzao mmoja ni mapacha pia usizani kila mtu umu jf akiongea kitu bac anadanganya aisee co ivyo cc wengine tuko real mm nina watoto 4 natarajia mtoto wa 5 naishi maisha ya kawaida tuu mm na familia yangu.uwezo wa kulea wanangu ninao..Upuuzi wa wazi
mambo ya mke wako waja yaanika hapa!!!
Nina imani kabisa,asilimia 99 kuwa huna mke
Ila muogope yule aliekuumba
Mkuu hii ni shida sana mke moja tatizo mm ni mkristo nimefunga ndoa kanisani mkuu cwezi ongeza mke wa pili ilo ndo tatizo..yani napata shida balaa...Mke mmoja hatoshi, huu ndio ukweli, kua na mke mmoja ni ukiwa, wanawakee waliojaa bado unang'ang'ania papuchi moja
Uzi nimeufuta mana naona watu wanaongea sana shiti kusu ili swala wengine wakizani naongea uongo wengine wakizani namdharilisha mke wangu sasa mm najiuliza namdhalilisha vp wife wakati cjamtukana nimetoa tuu ya moyoni nwangu kwamba mke wangu ana mimba ila mimba ya aafaro hii unyumba kunipa anipi kipapuna wakati mimba za zamani alikuwa akijipa kipapuna watu wanakuja na mapovu kibo badala ya kunipa ushauri nikaona huu uzi niufute tuu..ila ishu ndo iko ivyo previw page za nyuma utakuta kuna mdau ali uqoute..utauonaMbona siuoni huu uzi???
Uzi nimeufuta mana naona watu wanaongea sana shiti kusu ili swala wengine wakizani naongea uongo wengine wakizani namdharilisha mke wangu sasa mm najiuliza namdhalilisha vp wife wakati cjamtukana nimetoa tuu ya moyoni nwangu kwamba mke wangu ana mimba ila mimba ya aafaro hii unyumba kunipa anipi kipapuna wakati mimba za zamani alikuwa akijipa kipapuna watu wanakuja na mapovu kibo badala ya kunipa ushauri nikaona huu uzi niufute tuu..ila ishu ndo iko ivyo previw page za nyuma utakuta kuna mdau ali uqoute..utauona
Vumilia tu ndo uanaume huo mkuu.Clinic uwa nampeleka mara kwa mara mkuu na ushauri napataga ila c unajua tena sisi wanaume miili yetu mzee jinsi ilivyo tukiwa na hisia ila ok any way nitakitaidi kuvumilia..
Na wewe kaka yangu jambo hilo ndio uchepuke hujui kuwa hiyo ni mimba tu inambadilisha mvumilie wife sawa kakaAmna uzazi wa kwanza mapacha na now wana miaka 9 ila uzazi wa pili c mapacha na watatu pia c mapacha ila now ni mjamzito kwaiyo izi ni baraka tu za Mungu...mkuu na co sifa.kuna watu wanaangaika usiku na mchana kupata watoto na awapati sasa kama mm na mke wangu tuna watoto kwann tusione ni baraka za Mungu pia kila mtoto uja na neema yake...by the way hii ni ya mwisho mzee...
Ndomaana mwisho nmemuambia namzengua maana najua watu wa JF huyachukua mambo vile yalivyo kutokana tu nawingi wao nasio content!!