Mke wangu ananibania tendo la ndoa

Mke wangu ananibania tendo la ndoa

Acha zako
Huwezi kumuongelea mke wako namna hiyo
Labda unatafuta wa kukufariji humu
 
Umewahi kuhudhulia clinic ya mama na mtoto, kama bado uende ukajifunze changamoto za ujauzito. Mwenzako anapambana na mabadiliko ya mwili na mgeni wake tumboni wewe unawaza unyumba?

Haupo fea jifunze kua na huruma .
 
Kamshitaki kwa baba paroko kama Zorro alivyofanya Nadhani Tatizo lako la kunyimwa unyumba litakoma kama sio kwisha kabisa.
 
Wakuu habari zenu....!!kwema jamani!! wazima humu ok ngoja twende kwenye topic.

Ni hivi nina mke nimeoa tangia mwaka 2013 tumebatika kupata watoto 4 wa kiume 3 wa kike 1.

Wakuu kabla cjamua mke wangu kipindi icho tulivyokutana miaka ya 2007 tupo kwnye uchumba tulikuwa tuna banjuana sana alikuwa akinipa k frequently yani akija geto ni kubanjuana tuu mwanzo mwisho.

Mpaka nikampa mimba tukabahatika kupata watoto mapacha wa kiume mwaka 2008 tukakaa kwnye uchumba sugu wee ila ilivyofika mwaka 2013 tukaowana.

Tulivyopata watoto mapacha wife alikuwa anatabia kipindi kile ana mimba ya kwanza ya awa mapacha kipindi icho mimba ina miezi 6 kama 7 ivi wife alikuwa anapenda sana nimpige kulunge ananipa papuchi yani alikuwa ana ny*g* balaa na akiwa na mimba uwa anakuwa mtamu na wamoto aisee ni shida nilikuwa nampiga mashine kweli kweli aisee.

Mwaka 2014 tukapata mtoto wa 3 wa pia kipindi iki akiwa na mimba ya uyu mtoto wa 3 pia nilikuwa nampiga kulunge kama kawa tena alkuwa anapenda balaaa.

Mwaka 2016 tukapata mtoto wa kike pia kipindi akiwa na mimba ya huyu nilikuwa nampiga kulunge balaa yani tena uwa anapenda sana..

Ila mwaka huu ana mimba tangia akiwa na mimba now ina miezi 5 ila wife apendi niwe nampiga kulunge kabisa yani apendi niwe na suza rungu kwake kabisa wakuu na mimi kuchepuka si takii aisee wakuu nimepiga sana punyeto yani kama jana nimepiga punyeto bao mbili mfululizi kulunge linaniuma balaa wife game ataki kunipa..

Napata shida sana wakuu yani mpaka najiuliza uyu mwanamke kapatwa na nini mbona mimba hii apendi niwe na mpiga kulunge why msaada kwnu wakuu nifanyaje kuchepuka sitaki na ndomana nimepiga punyeto ila nyeto aisee sitoshekii kabisa wakuu nataka kipapuna na kipapuna papuchi mke wangu ananibania msaada wadau..[HASHTAG]#nimelala[/HASHTAG] mzungu wa nne apa#
Upuuzi wa wazi

mambo ya mke wako waja yaanika hapa!!!

Nina imani kabisa,asilimia 99 kuwa huna mke

Ila muogope yule aliekuumba
 
hilo ni tatizo kubwa sana , wanawake wengi wakishaingia kwenye mahusiano wana relax sana , wanasahau the more close we are with them the more our nonihinooo wants them ... ndio umuhimu wa kuoa wake wawili nauonaaa
 
Hiyo mimba ya jirani,Kulunge ya jirani ndo ipo kibaruani mkuu,shtuka ushasaidiwa kwa hisani ya watu wa mataifa.
Kwa kweli, na ndio maana mimba hio haijampenda baba mapacha !. Kasaidiwa tayari.
 
MIMI USHAURI WANGU TATIZO NILILOLIONA HAPO NI KWAMBA UNAFYATUA MNO

HVYO ZINGATIA UZAZ WA MPANGO MKUU
 
Mmmhh watoto watano miaka mitano?

Si ajabu mkeo kugomea tendo,
Mwili wake umechoka wee mpe break tu.
 
we utakuwa msukuma tu mitoto yote hiyo usawa huu au ndio unategemea elimu bure
 
Mvumilie labda mimba hii haijakupenda kwahyo hata sex pia haitaki
 
Ume edit uzi wako? mbona mie naona ka doti tu sioni maelezo;
Nimeamua nifute mana naonekanika muongo pia namdharau mke wangu na ndomana nimeona ninyamaze kimya Mkuu mana kuna watu humu ndani wanajikuta wanayajua sana maisha ya watu...
 
Kwa kweli, na ndio maana mimba hio haijampenda baba mapacha !. Kasaidiwa tayari.
Sizani ngoja nisubiri mtoto akizaliwa kama atakuwa kafanana na mm kama awa wengine..
 
Back
Top Bottom