Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 111
- 211
Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
Hiyo ni guesswork, usikute utumbo mpana haupo ua umeziba au unahamisha njiaKama ni constipation, mpe castor oil, au mloekee ukwaju glass moja mpe anywe, mpe mapapai na vyakula vyenye nyuzi nyuzi, mpe maziwa mgando!
Haupo umeenda wapi? Basi waende kwa wataalamu wa afya kwenye mambo hayo!Hiyo ni guesswork, usikute utumbo mpana haupo ua umeziba au unahamisha njia
Labda nijaribu ukwaju ivo vyengine nimeshafanyaKama ni constipation, mpe castor oil, au mloekee ukwaju glass moja mpe anywe, mpe mapapai na vyakula vyenye nyuzi nyuzi, mpe maziwa mgando!
Unakuta una connect na ku disconnect 😎Haupo umeenda wapi? Basi waende kwa wataalamu wa afya kwenye mambo hayo!
Parody🤔Kama ni constipation, mpe castor oil, au mloekee ukwaju glass moja mpe anywe, mpe mapapai na vyakula vyenye nyuzi nyuzi, mpe maziwa mgando!
Yeah mkorogee umpe anywe utamsaidia, ikishindikana kuna dawa hospitali wanatoa ukimpa tu hata home hafiki mzigo huu hapo!Labda nijaribu ukwaju ivo vyengine nimeshafanya
Madaktari wa jeihefu😃Unakuta una connect na ku disconnect 😎
Normal, sometimes watu wanakaa hata wiki na kitu.....tumia Lactulose huwa inasaidia to loosen stoolWakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno