Mke wangu anajiuza?

Hakuna mke hapo ni kikundi cha upatu hicho anakodisha sehem zake za wazi
 
baba tupac eeeenh usisite ebu tupe maelezo ya nwanzo mlipokutana kabla ya kumuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutufunga kamba we kima, hiyo screenshot kama umetoa kwenye simu ya mke wako it means yeye ndo aliyeituma message hiyo inayosema 'mbele'
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona screenshot haitoi ushirikiano kwa madai ya mleta mada?

Iko reverse, kama ni simu ya mke wake ndipo alipopiga hiyo shot basi text aliyotuma mkewe ni hiyo "mbele" hizo nyingine zimeingia kwenye simu ya mkewe.

Ameamua kuwachezea akili tu.
 

Unatudanganya. Kwa mujibu wa maelezo yako hakuna ukweli wowote hapo. Katika mawasiliano ya SMS, anayechat (sender) husomeka upande wa kulia (i.e. mke wako) huku upande wa kushoto wa conversation ni yule recipient.

Ungetuambia kuwa mke wako ndiye aliyeuliza bei tungekubali, vinginevyo umetudanganya kitoto kabisa & it’s sad that baadhi yetu hawajagundua hilo. Re-read the convo screenshot and you’ll testify my critique.

We’re smart, bro/sis!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…