Mke wangu anajiuza?

Don't make decisions when you are angry!! Huwez jua how far anampenda mke wake...by the way wapo watu waliowafumania wake zao live na still bado hawajaachana ila kuna wengne waliachana na wake zao kisa SMS za kwenye simu tu... Kikubwa waongee tu wafikie muafaka kama either Ni kumsamehe au kumuacha!
 
Nipe namba yake nijiridhishe kama ni kweli au unamsingizia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi waga nacheka tu

Najua ni je ya mada lakini umecheki avatar yangu?
 
Umejuaje anajiuza? Mbona sijaona sehemu aliposema anauza
 
Mkague kwa nyuma vizuri kama shimo limetanuka
 
Pole sana mkuu najua unahasira ina swali la kukuuliza je huwa unampatia fedha kadhaa kwaajili ya matumizi yake binafsi??

Kama huwa humpi fedha kwaajili ya matumizi yake binafsi basi unamchango katika hiyo tabia aliyotaka kuifanya, cha kufanya kuwa mpole, ongea nae kwakina kumpiga sio suluhisho mwisho anza kumpa baadhi ya vipesa kwaajili ya matumizi yake binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo simu ni yako na si ya mkeo. Na meseji unasema mkeo ndio kaanzisha mazungumzo ila hapo inaonekana namba ngeni ndio imeanzisha mazungumzo. Mkuu acha kuchepuka halafu unasema mkeo. Yaani haiwezekani mteja apange bei halafu mkeo aulize tena eti "mbele" yaani biashara yake halafu asijue matumizi kulingana na bei? Hii chai na upepo wakati kuna joto kali.

Double tick huonekana kwa meseji inayotoka na sio inayoingia.
 
Sio mbaya mnatafuta wote ili niweze kuhudumia familia pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…