acha uongo mkuu, mtumaji wa meseji yupo upande wa kulia anayeuliza mbele na hawezi kuwa mwanamke, huyo ni mwanaume (WEWE) Ume capture chatt yako na malaya.Wakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
nilifikiri mimi ndio sielewiacha uongo mkuu, mtumaji wa meseji yupo upande wa kulia anayeuliza mbele na hawezi kuwa mwanamke, huyo ni mwanaume (WEWE) Ume capture chatt yako na malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm no yake na jina analotumia kwenye mitandao ya kijamii nikusaidie kufanya uchinguziWakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,

Jamaa anachangamsha jukwaa, kwa ufupi watu hawajajua kuwa anazingua.acha uongo mkuu, mtumaji wa meseji yupo upande wa kulia anayeuliza mbele na hawezi kuwa mwanamke, huyo ni mwanaume (WEWE) Ume capture chatt yako na malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana tuenjoy huyo mkuu, labda huyo malaya anaechat nae ndio mke wake.Nna wasiwasi na hii conversation, application ya telegram mtumaji wa msg huwa texts zake zinakaa upande wa kulia na anayejibu zinakaa upande wa kushoto. Hapo inaonekana huyo jamaa ndio kascreenshot na msg yake iko kulia na mwanamke ndio anaonekana akiwa anajibu.
Au telegram kuna setting unabadilisha kwamba wewe sender msg zako zinakua kushoto na anayejibu zinakaa kulia?
Anakula chake mkuu😂😂😂😂Sasa huyu ni mke au malaya?
...............Sasa unadhani hapo kuna jengine kama siyo kumuacha?huyo ni malaya na huo ni uthibitisho tosha namshangaa mwamba yupo hapa ana-post saizi alitakiwa awe anamsimamia kutoa vitu vyake nje hawa malaya siyo wa kucheka nao wanakuuwa huku unajiona.Ni mke wako zungumza nae kwa upole kbs hawa wanawake hujui kitu kingine waliongea na shetani zaid ya lile tunda!!! Kuna watu wanaweza kukushauri humu ukamuacha mkeo bureee
Mzee ushaona mtu anauza moja 20k hata nguvu ya kuendeleza hiyo chat unapataje[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni usia kwa wanaume wengine jitahdn wake zenu mchubguze magrupu yao ya teelgramWakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana roho ngumu sana na uzi kaweza kuanzisha.Mzee ushaona mtu anauza moja 20k hata nguvu ya kuendeleza hiyo chat unapataje[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe wazo positive
Ila kifupi huko telegram ni kwa watu walioshindikana yaani huko watu kuuliza jicho ni kawaida sana
We Mbwa oa [emoji23][emoji23]Kwa hali hii eti bado kuna vijana wanakimbilia kuoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ngeni : Moja 20Wakuu,