Mke wangu anajiuza?

Ni mke wako zungumza nae kwa upole kbs hawa wanawake hujui kitu kingine waliongea na shetani zaid ya lile tunda!!! Kuna watu wanaweza kukushauri humu ukamuacha mkeo bureee
 
hata hivyo mkeo ni mbunifu na umefanya kosa kumpiga

kipi bora kati ya kuitoa bure au kuiuza..!?
 
Kama ni kweli kazi unayo..Sasa kwanini una mihemko.Si,ungelifuatilia kwa kina hili swala kabla ya kumlamba makofi kubaini ukweli na kulikomesha....mana ni swala zito kwelikweli hilo
 
Huyo ni mjasiriamali ni typing error tu..kuna vitu anauza kimoja elfu 20 jamaa alikusudia kuuliza mbili? Yaani kama moja elfu 20 mbili itakua kiasi gani?😂😂😂
 
Sijaona hata aliyekuja na wazo positive
 
Mkuu huko telegram kuna balaa mkeo akiwa na hiyo app inabidi uwe makini sana na mienendo yake.
 
Mkuu tafadhari weka namba yake ili tukupe ushaidi kamili ila yeye usinambie kama umeshtua huku kuhusu hiyo biashara

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Nyuma Bei gani anafanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…