mi na wewe twafanana yan had natamani kukimbia nyumbani etiNimekataa safari 2 za ughaibuni for family reasons mpaka kupelekea mausiano mabovu na kaka yangu aliye ughaibuni,think bigger Sent from my iPhone using JamiiForums
Vipi K yako bado ina ganzi kwa mmeo?
ndo ajidanganye hiivyo alafu amwache aende tu
mi na wewe twafanana yan had natamani kukimbia nyumbani eti
hi wadau,
mi ni mgeni hapa jf ila napenda kushare jambo linaloninyima usingizi.mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja hapa tz.safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua mda gani huko ughaibuni,maisha yetu hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.sasa inaniwia ugumu kumuachia aende. Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau
depressed hubby
sent from my iphone using jamiiforums
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko.
Sent from my iPhone using JamiiForums
haya hongera zao.. but there is a lot in their heads..!
most of them ukichunguza utakuta wana elimu ndogo... haiwezekani ujivunie kazi isiyokulipa..
hata kama mazingira ya kazi yawe mazuri vipi, watu wanaangalia maslahi!
aya mkuuu karibu sanaHahaha Asante sana Miss Chagga
Sent from my iPhone using JamiiForums
😡: mmh majanga
Hi wadau,
Mi ni mgeni Hapa JF ila napenda kushare Jambo linaloninyima usingizi.
Mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja Hapa Tz.
Safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua muda gani huko ughaibuni,Maisha yetu hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.
Sasa inaniwia ugumu kumuachia aende.
Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau.
Depressed hubby
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali
Ni ujinga kudhani kuwa ajira za sekta ya huduma ni ajira za aibu.
Mtu unaenda kwenye hizo sehemu, unahudumiwa vizuri kumbe deep down unawadharau hao wanaozifanya hizo kazi na ambao ndo wanakuhudumia wewe.
Hiyo ni akili kweli? SMFH!!!!
Mwanaume gani unalalamika? Ukimkataza itakuwa mbaya?
Anajua sio wake tena