Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,438
Kwa argument hii hata wale dada zetu wanaosimama mabarabarani usiku pia wanajiingizia kipato halali so si shame job?
Hi wadau,
Sasa inaniwia ugumu kumuachia aende. Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau
Depressed hubby
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbeba box mtarajiwa huyo. Nipe jina lake nimwandikishe kwenye daftari la wabeba box.
Unajua maana ya rizq 'halali' wewe? Sidhani kama unajua.
Licha ya kutojua kwako, umalaya si haramu sehemu zote duniani. Zipo sehemu ambapo umalaya ni moja ya shughuli rasmi tena yenye kutozwa kodi kabisa.
Na madhali mtu kaamua kujikita huko ili kujipatia mkate wake sioni kwa nini asijivunie kutoa huduma kwa watu wanaoihitaji huduma anayoitoa.
Put yourself in her shoes..., ungekuwa wewe na kuna safari ya muhimu kwako na mwenza wako anakuzuia kwenda ungefanyaje ? Pia kwenye hio paragraph yako sijui hio for good imetoka wapi.
Nimekataa safari 2 za ughaibuni for family reasons mpaka kupelekea mausiano mabovu na kaka yangu aliye ughaibuni,think bigger
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijui unamaanisha nini kujua maana ya hiyo kitu na kila kazi ina context yake ya ku-determine uhalali na uharamu wake.Nilipoweka reference ya dada zetu nilimaanisha our TZ context na si huko unakotaja.
Museveni ni mjinga tu kama walivyo Waafrika wengine. Halafu sisi Waafrika ni wanafiki sana. Hapa wewe unadokeza kuwa umalaya ni jambo lililokubalika na Wazungu kama vile hapa kwetu haukubaliki. Hii migesti yote iliyojaa kila kona ya nchi ni madanguro bubu na sote tunajua nini kinachoendelea humo. Lakini tunajifanya kama vile tuna maadili sana na kwamba mambo fulani fulani hayakubaliki kwetu. Umalaya usingekuwa unakubalika hizo gesti zilizoenea kama uyoga zisingekuwepo, watoa huduma nao wasingekuwepo kwa wingi hivyo, na watafuta huduma nao wasingekuwepo. Kumbuka, hakuna biashara ya upande mmoja tu. Muuzaji hawezi kuwepo bila mnunuzi.Kwa Busara ya Mu7 vitu vinavyokubalika na wazungu si lazima viwe na maana sawa kwetu.
Naomba unijibu kwa argument yako dada zetu wanafanya kazi halali?
Wanaishi kwenye vyumba vya kupanga,kula na kusomesha wakati mwingine kwa biashara hiyo.
Kwa argument hii hata wale dada zetu wanaosimama mabarabarani usiku pia wanajiingizia kipato halali so si shame job?
Fimbo ya mbali?Hi wadau,
Mi ni mgeni Hapa JF ila napenda kushare Jambo linaloninyima usingizi.Mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja Hapa Tz.Safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua mda gani huko ughaibuni,Maisha yetu Hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.Sasa inaniwia ugumu kumuachia aende. Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau
Depressed hubby
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni mkeo utasemaje hujui anaenda kufanya nn?je doc au invitation letter inayomruhusu kuomba viza inasemaje?
Maisha ni kutafuta popote pale muache aende ila usisahau kumpa nasaha naamini atakuelewa tu ila pia kitu kimoja ukizingatie mkeo akiondoka usiingize mwanamke mwingine ndani ya nyumba yenu hata kama kwa siri akija kujua amekuacha mazima.
linawezekana kweli hilo Miss Chagga ndo ipa moyo tena,
If i were you.. For a good reason, hiyo safari ningeiblock for a good reason....
How comes wife aende sehem bila kujua afuatacho wala kurudi ni lini? Itaniuma....
Unajua hata kwetu ni nje ya nchi ukiwa nchi za watu...
She better stay home for good.
haya hongera zao.. but there is a lot in their heads..!Welp, kila siku mimi nakutana na watu wanaojivunia kazi zao.