Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali
Kama ni mke, muache atangulie ili baadaye nawe umfuate. Mbona ingekuwa ni wewe si ungemwambia unaenda tafuta maisha?
Dont be too negative, watu huachana everyday na haiihitaji kwenda ulaya ndio waachane. Na kuna watu hata gereza haliwaachanishi.
huyo SIO MKE WAKO ila umezaa nae tu.
angekuwa mkeo usingekuwa unaongea haya sasa
tafakari!!
Kama ni mke, muache atangulie ili baadaye nawe umfuate. Mbona ingekuwa ni wewe si ungemwambia unaenda tafuta maisha?
Dont be too negative, watu huachana everyday na haiihitaji kwenda ulaya ndio waachane. Na kuna watu hata gereza haliwaachanishi.
Ninamaanisha kazi ambazo haziwezi kuwa monitored watu wakalipa kodi kuongezea taifa kipato na manyanyaso mengi mfano house girl, shamba boy nk
Kama ni mkeo utasemaje hujui anaenda kufanya nn?je doc au invitation letter inayomruhusu kuomba viza inasemaje?
Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halali
Cool mkuu, kwa kweli kuwa cleaner/ disability worker, aged carer/nauza kfc ni basi tu ni kazi ambazo ni low grade na ndio huwa at least ziko available. No one aspires to do them just because its hard to secure white color jobs, tunaishia kujifariji 'kazi ni kazi tu' lakini waaapi bana ni vile plan B inakuwa haipo.
Sent from nokia Jeneza
Ana hofu ya Mungu ila mlezi wake ughaibuni amekuwa sio msaada kwake kwa mda mrefu Kama Miaka 6 nliyoishi nae,sasa ghafla anataka kumchukua na yeye aende huko bado hajamwambia atakachokwenda fanya huko
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unajua wanadharau mno wabongo . Kama wote tukiwa mawaziri nani atalima au wote wakiwa madaktari nani atakua nesi , nani atasaidia kina mama wakati wanajifungua. Huwa nawashangaa mno wabongo kujifanya kwamba hapa home wote ni maofisa. Tubadilike tuheshimu kazi zote.Unajua sisi wakati mwingine huwa nadhani akili zetu haziko sawa kabisa.
Na sijui nani tu aliyetuaminisha kuwa baadhi ya kazi ni kazi za hovyo!
Mtu anajihangaikia kujitafutia rizq yake halali huku akikuhudumia wewe halafu wewe huyo huyo eti unamdharau kwa kazi anayoifanya. Kama vipi si ujifanyie mwenyewe yote hayo unayoenda kwa wengine kufanyiwa....
Wakati mwingine huwa tuna upumbavu wa kijinga sana (as if kuna upumbavu wa akili).
Ha ha ha yaani mkeo anaitwa ughaibuni alafu mwenye mke huambiwi anaenda kufanya nini????? You are too weak if its all like that.
Ila nadhani moja ya masharti ya visa ni kutaja unategemea kurudi lini ambayo itathibitishwa na itenary ticket,jaribu kufuatilia hilo.ila kama una wasiwasi sana na picha ndo hilo tena nenda kaweke pingamizi ubalozini anyimwe visa,nahisi wanaweza kukifikiria.
Cool mkuu, kwa kweli kuwa cleaner/ disability worker, aged carer/nauza kfc ni basi tu ni kazi ambazo ni low grade na ndio huwa at least ziko available. No one aspires to do them just because its hard to secure white color jobs, tunaishia kujifariji 'kazi ni kazi tu' lakini waaapi bana ni vile plan B inakuwa haipo.
Sent from nokia Jeneza
Unajua wanadharau mno wabongo . Kama wote tukiwa mawaziri nani atalima au wote wakiwa madaktari nani atakua nesi , nani atasaidia kina mama wakati wanajifungua. Huwa nawashangaa mno wabongo kujifanya kwamba hapa home wote ni maofisa. Tubadilike tuheshimu kazi zote.
Mbeba box mtarajiwa huyo. Nipe jina lake nimwandikishe kwenye daftari la wabeba box.
Mzee Mwanakijiji umekamata kwenyewe.Nadhani Mh.km amerudi ktk hii safu basi hii aiwekee note,ni extract muhimu.Serikali hadi leo bado wapo wanjisuasua kwa copywrites za wasanii tuu hawajui hata ktk patent kunaweza watoa wabongo kibao,kwani mtu km analowazo jipya na zuri akilewekewa patent analiuza au kukopea nalo na kuweza fanya kazi kwa kipindi fulani ambacho atakuwa amerudisha gharama zake na ndio sasa fungulia mbwa ianze ili kuleta upinzani.
Lakini leo hii hata jamaa wa chai maharage enzi zile,au chakula cha waathirika Arusha,Au mchoraji wa leo anaweza fikisha proposal yake bank leo ya kuomba mkopo kwa ajili ya wazo lake kesho akakuta hilo wazo limeshafanyiwa kazi na tajiri moja nguvu za kutisha.
Mzee mwanakijiji hii itapiga bao si utalii peke yake bali kila sector.Patakuwepo mfumuko wa mawazo na ubunifu wa kila nyanja ambao utaleta mafanikio makubwa.Mtaji wa kila raia utakuwa akili yake,na mafanikio ya makampuni yatakuwa mitaji yao.