Mke wangu ana hoja au ni uoga wake tu?

Mke wangu ana hoja au ni uoga wake tu?

Hakuna njaa mbaya kama njaa ya ....,utakuta umevurunda bila kutegemea maana utamchukulia poa mwanzoni ila miezi 10 mingi eti utaanza kugundua ana miguu mizuri,mwanya na vinginevyo hakika utaikaribia zinaa,mkeo ana hoja kabisa hauwezi kushindwa kufanya usafi kwenye chumba chako mkuu
 
Mi mbona niliweza kuwa na mfanya kazi wa aina hiyo na hakuna kilichotokea? Ni kujiendekeza tu na tamaa za kijinga.

Tatizo wanaume wengi wana hizo tamaa za kijinga. Halafu mwisho wa siku wanasema shetani aliwapitia
 
mkeo anajua udhaifu wako ndo mana hataki msikilize miezi 10 mingi sana usije badae ukamsingizia shetani!!!!!
 
Back
Top Bottom