Unaongea tu...Insecurity in a wife is a nightmare. Ni wasaidizi wa ndani tu ndio wako desperate au ni wanawake kwa ujumla? Kwanza mnaishije wakati hakuna uaminifu?
samahani nipo nje ya mada hivi KUJIPIKILISHA ni kiswahili fasaha ?
Wewe unaonaje madai ya mkeo?
haswa kwa nn binti wa kike? mbn wa kiume pia wapo. huyo mkeo naungan naye kabisa ucthubut kufany hivo
Kujifanyia kazi zako unaona ni jambo gumu???
Napata hasira... huna mikono au kujiendekeza?
Fanya hivi ..
Kula vibandani,
Usafi utafanya mara moja kwa wiki,
nguo utatafuta wale wafuaji wa kuwalipa wanakufulia kila wiki.
Na mjitahidi kutembeleana kila mwezi...
Ndivyo tunavyoishi....
Unaongea tu...
Sio kila kitu uombe ushauri kwa mkeo, boya we
Ushauri mzuri, ila, kwani Kuna binti wa like Na binti wa kiume?