Mke wangu amezaa mtoto mzungu

Mke wangu amezaa mtoto mzungu

Kama kafanana na wewe basi itakua ni mambo yakibiology yaliyosababisha mkazaa hivyo so waulize wataalam watakusaidia
 
Hakuna mzungu yeyote aliezoea kwako hapoo labda hebu unda tume
 
Sasa kama mtoto kafanana na wewe na una kubali unataka nini tena?
 
Anza kuwatangazia vita majirani wambie mtoto ni wako..kama vipi watishie na panga au bunduki kama unayo
 
Wewe likuwa na mawazo gani huu ya hilo ndo nikushauri kwanza? Maana unasema mtoto anakufanana inaonesha umemkubali basi lea sasa..
 
Inawezekana kuna ile movie ya ki sauz Africa familia ya weusi ilizaa binti mzungu..sikumbuki jina ile movie nzuri sana.
Hongera mkuu kwa kupata mtoto..lkn kuna wamarangu na wadigo kama sikosei wana damu za kidhungu pengine na wewe upo kwa asili hizo..ukiona picha huelewi nenda kapige mpango wa DNA.
 
YaNi jtano tu leo tayari ushajua kuwa mtoto wako ni mzungu? Watoto wengi wakizaliwa huwa ni wazungu, jipe mda kwanza utaona tu rangi itaanza kubadirika.
 
Leeni mtoto maana ni wenu miaka hii hata tabia nchi iko kwa binadam pia
Hakuna cha ajabu zaidi uwe na amani
 
ni wako huyo uzungu kafata kwa babu yake babu shangazi ambae ni dada mdogo wa kaka yake na mama yake bi mkubwa wake aliishi marekani na binamu yake pia ni mpwa mziwanda na mdogo wake mdogo hata Vaislay anajua ivo usiogope sana...
 
Tangu lini mzungu akafanana na mwafrika? Alafu inakuwaje mtoto mchanga wasiku 3 kufanana na mtu mzima? Are kidding me? Hisia zako ni zakweli umeliwa hapo mkuu.
 
Sasa kama mtoto kafanana na wewe na una kubali unataka nini tena?

tatizo mtoto mzungu shombeshombe beibi wakati mimi plus mama yake wote kama tulidumbukizwa kwenye pipa la oili chafu tulivyozaliwa.
 
Tangu lini mzungu akafanana na mwafrika? Alafu inakuwaje mtoto mchanga wasiku 3 kufanana na mtu mzima? Are kidding me? Hisia zako ni zakweli umeliwa hapo mkuu.

kuchapiwa siri ya ndani...
 
Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.

Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).

Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.

Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.

Mzungu anafananaje na wewe?
 
Fuatilia family tree zenu. Mimi great grandfather alikuwa na ushombe wa kisomali ila alioa wabantu sasa babu baba na sisi wote tuko na surra za kibantu na pua pana but mimi nimeolewa na mme mbantu ila watoto wetu wanasura nyembamba sana na pua nyembamba niliamua kufuatilia familia yetu maana niluona kuna mashangazi na baba wadogo wana nywele za singa najua sikucheat ndio nikaambiwa hayo
 
Back
Top Bottom