Mke wangu amezaa mtoto mzungu

Mke wangu amezaa mtoto mzungu

Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.

Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).

Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.

Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.

Picha please
 
Kiongozi kama mtoto amefanana na wewe ni wako ni wako kuhusu huo uzungu anaweza kuwa albino kwahiyo isikupe tabu sana hiyo rangi.
 
Wazungu wawili walizaa watoto mapacha. Mmoja muafrika mmoja mzungu. Je mkeo babu wa babu yake akua mzungu?
 
nawafaham maalbino nawafaham wazungu, huwez fananisha nywele za albino na mzungu mkuu.

OK tuachane na hilo..... Kwenye ukoo wenu kuna albino? Just be honest.
Kama hakuna na Wewe unaona kama umezaa mzungu.... Inawezekana mtoto ni mweupe tu (kawaida watoto kuwa weupe) ila asiwe mzungu.
 
Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.

Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).

Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.

Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.

hahaaa! Hakuna cha mabadiliko ya kibiolojia wala ya kikemia wala ya kiphysics kama mwanao si albino basi ulichapiwa huo ni uongo kabisa kukuambia et mabadliko ya kibaolojia. Wazungu wameamua kuleta suluhu ili kupunguza maugomvi kwenye familia ndio maana hata DNA ukienda chin ya ustawi wa jamii watakwambia mtoto ni wako japo sio kweli ili kuepusha watoto wasio na baba. Kwann wazungu wenyew wasizae mweusi kama mabadliko ya kibaolojia?
 
Kiongozi kama mtoto amefanana na wewe ni wako ni wako kuhusu huo uzungu anaweza kuwa albino kwahiyo isikupe tabu sana hiyo rangi.

mtoto kufanana naye haimaanishi kuwa ni mwanaye. Kitendo cha mke na mme kukaa pamoja na kushea mambo flani kwa mda mrefu ikiwa ni pamoja na kusex inaweza kupelekea mtoto kufanana na baba japo anaweza asiwe mwanaye ila kadri akuavyo ndivyo ataanza kubadlika na kufanana na mzazi wake halisi.... Hvi hujawahi kuona mke na mume waliokaa pamoja na kuzeeka wanafanana?
 
Sasa kwa macho yako umeona mtoto mzungu, unakuja kuuliza JF tukusaidie nini? Mwambie mkeo apeleke mtoto kwa baba yake anamjua huyo.
 
tatizo mtoto mzungu shombeshombe beibi wakati mimi plus mama yake wote kama tulidumbukizwa kwenye pipa la oili chafu tulivyozaliwa.
Mbona umemjibia?
Au Mna share ID na PUNDA?
 
Kama mtoto mnafanana hata licha ya hivyo huwa inatokea, kuna familia ya wazungu South Africa baba na mama walikuwa wazungu ila mtoto wao mmoja wa kike akawa mwafrika kabisa.
Baada ya DNA test mtoto ni wa yule baba.

Mwingine alizaa mapacha wa kike mmoja akatokea wa kizungu na mmoja wa kiafrika, ukizingatia hao ni mapacha.

Nigerian couple waliokuwa wakiishi UK walipata mtoto wa kizungu wa kike na zaidi alikuwa na blonde hair. Wao wote ni waafrika.
So kaka yangu we kuwa na amani, msubiri akue upime DNA kuondoa wasiwasi wenu.
 
au albino?hebu mchunguze vizur halafu samahan lakini au mke wako anafanya kazi STRABARG maana nimepata malalamiko hayatofautian na yako
 
...kichwa maji,asa mawazo gani ?kwamba ni mzungu ?,sio mzungu ?,stori ya uongo ? au kuwa ni upuuzi...?! PUNDA wee ...!

Hahahhaha nimependa hilo jina lake ulipoliweka
 
Last edited by a moderator:
ni wako huyo uzungu kafata kwa babu yake babu shangazi ambae ni dada mdogo wa kaka yake na mama yake bi mkubwa wake aliishi marekani na binamu yake pia ni mpwa mziwanda na mdogo wake mdogo hata Vaislay anajua ivo usiogope sana...
mam fay umechapia hahaha...
 
Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.

Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).

Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.

Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.

acha kutuokota yaani mtoto awe mzungu hapo hapo kafanana na wewe.......
 
Umezaa Albino ficha wasimkate mkono. Imenikumbusha familia moja ya kichaga walizaa albino. Wazazi wasomi haikuwa tabu. Shida ikawa kwao kijijini walimtuhumu yule mama kuwa.amezaa nje na mzungu. Ilileta shida sana. Albino alikuwa very bright na slifanikiwa baadaye kusoma marekani first degree.
 
'PUNDA' mapema mno subiri subiri kidogo aanze kuongea,akianza kuongea 'KIINGEREZA' hapo ndo uwe na wasiwasi!.
 
sasa ni hivi kama humtaki huyo kadala lete kwangu nimlee..

sipendi watu mnaosinanga watoto wakati ni wenu wenyewe..
Ningekuwa Mungu ningekucharaza viboko
 
ni wako huyo uzungu kafata kwa babu yake babu shangazi ambae ni dada mdogo wa kaka yake na mama yake bi mkubwa wake aliishi marekani na binamu yake pia ni mpwa mziwanda na mdogo wake mdogo hata Vaislay anajua ivo usiogope sana...

Amepata mtoto af analeta mbwembwe,mchepuko huyu bn
 
Back
Top Bottom