Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
wa pili ANAKUJA MCHINA
Na penyewe atatoka anamfanana tu!"?
wa pili ANAKUJA MCHINA
Na penyewe atatoka anamfanana tu!"?
Sio mzungu ni albino
Inatokeaga...lakini chance yake ni ndogo sana (one in a million)......soma hapaJamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.
Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).
Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu hamna mzungu kabisa wala half cast. Nikifikiria naona kama nimeliwa hivi ila tatizo ni kwamba mtoto amefanana sana namimi kiukweli. Tayari nimeanza kuwa na wakati mgumu baadhi ya ndugu na marafiki kuongea maneno pembeni.
Naombeni mawazo ya kujenga jamani. Asanteni.
vuta subira atabadilika baadae