Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu

Yaani watu wanatoka sehemu za mbali na magharama kibao kwa ajili ya interview kumbe kazi zina wenyewe tayari. Huu ni ushenzii...
 
Nikwambie kitu, we endelea na huyo rafiki yake ulompa kazi, halafu mlete mkeo kwangu nimpe kazi murua salary juuuuu bila hata interview!!
 

kama uliamua kumbeba, ungempa angalau maswali afanye kabla au ungemwambia ajiandae na vitu gani,
Ingawa mimi naona bora amefeli kwa sababu baadaye ingekusumbua sana.
 
Mwanamke kilaza, ana wivu kibao utafanyaje kazi ya kuajiriwa wewe na mkeo kampuni moja, kituo kimoja? mbona utapata shida sana huko kazini? akikukuta umesimama na mdada tu tayari ugomvi. mtafutie kazi nyingine au mpe mtaji afanye biashara.
 
Ole wao wanaotoa siri za ndani ya ndoa zao.. Na kabla sijasahau, hivi umesema unafanya kazi ofisi gani ili angalau tuchukue ka hatua maana inaonekana humo ofisini kwenu vile vi bilioni vya ripoti ya CAG vimewapitia
 

ahaaaaaaaaaaaaaa
baada ya kicheko jibu maswali yafuatayo:

1: alikuwa anavigezo vya company yenu? Eg amesoma coz zinazoendana na wafanyakazi mlokuwa mnawataka? Asiwe amesoma sheria afu kazi yenyewe mhasibu. Je hesabu ataweza?

2: kabla ya interview ulimpa hata hints kwa mbali? Hata kumtex iq yake?

Nb: kuna mtu alileta uzi hapa kuwa yeye kigezo cha kuoa ni kiwango cha IQ . Ingawa na uzuri ni muhim tena sana.

Kwa wakaka wote ukitaka kuoa atleast oa mwanamke ambae iq yake iko fit eg lawyers. Ni mtazano tu nisihukumiwe.
 
kama sielewi hivi, mnaingizana tu kwenye nafasi, wakati kuna watu wenye vigezo mnawawacha
 

Uko sawa mkuu.. Big up
 
Last edited by a moderator:
Niliiamini stori

mpaka ilipofika sehemu ya kulala a tight na mkanda ndo nikajua ni utunzi...
 
Wewe Sio Afisa Utumishi Labda Ni Mwandishi Wa Habari Wa Globo Publisha

Utunzi Wako Kama Wa Bosi Wako Shigongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…