Mke wangu amenisaliti 'live', naombeni ushauri wenu tafadhali

Dah najua jinsi gani unajisikia asee,,,ila sasa amua mwenyewe mimi sikushauri maana hata sisi wanaume tunapiga sana vidumu..
 
Pole sana Mkuu!!!
Nikamuuliza uliomba ruhusa
ya kuhamia kibaha ili uwe
huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa
sikutoshelezi? akajibu
hapana!



Hebu Mpe SECOND CHANCE lakini hii nafasi ni kwa ajili ya kumchunguza pekee na kwenda kupima... Maana kama ni kweli anataka msamaha hata Rudia ila kama Ataendelea tafuta Usitarabu mwingine kabla hayajawa makubwa na Kukuletea UKIMWI/STD's nyumbani

Nakuunga mguu kaka
 
Pole sana kaka,
Mie kwa mawazo yangu binafsi kama amekubali basi na muachane kwa sababu hiyo chuki haitakwisha.
Najua sie wanaume tunaendekeza sana na matokeo yake wanawake pia hujaribu nje, lakini wakumbuke nani anaweka mkate mezani.
Mie afanye atakayo lakini nisijue kwa sababu nikiisha jua sintaweza kuvumilia naweza hata kuua mtu
MFUKUZE KAMA MBWA BILA HATA YA TALAKA SABABU NAZANI HATA HUYO MWANA SI WAKO
 
Pole sana lakini unapaswa kufahamu kuwa hakuna jipya.
Hayo aliyofanya mkeo hayapendezi lakini ninadhani kuwa wewe unabahati kwani
usaliti aliofanya mkeo kimemfanya a feel guilty[ which is a good sign].
Pengine nikuulize swali jee wewe tangu umeingia kwenye ndoa hujacheza off side?
Sisi wanaume ndiyo wabovu kuliko hao wenzetu kwani tukiona waridi tu basi tunakuwa kama wehu
na katika kipindi hicho tuko tayari kwa ahadi nyingi ili tuhodhi tuu. Kilichotokea ndiyo hicho kwani huyo mwizi wako
[mwanamume mwenzetu] alivyoona kinono basi alimwaga sera na wake zetu ni binadamu resistence ikapungua na
akaingia kwenye mtego. Lakini kizuri ni kuwa amerealise alichokifanya na ninakuhakikishia kuwa hatofanya tena.
Ila nawe usilipize kwa maneno ya kejeli kila mnapotofautiana usikumbushie.
Mungu akupe subira uweze kuyashinda majaribu lakini ukweli ni kuwa mkeo anajuta alichokifanya
 
But b4 hawajasameheana wanatakiwa wakapime afya zao kwanza,maana huwezi kujua huyo mfanya biashara anauzima kiasi gani!!!
Allishatumia K ndio maana alijua kwamba iko tofauti. Labda kama walitumia ndomu............
 
Oa mke wa pili hyo ndo dawa... (kama wewe ni mwislam)... kwanini kutiana presha?Arrghhhhhh....!!
 
kaka pole sana, nimeumia sana ila kama ni tabia yake hapo hesabu maumivu kaka! hawezi kuacha iyo tabia! duh inaonyesha jamaa ana mtalimbo c kitoto mpaka limekuwa shimo! za kuambiwa changanya na za kwako. bila shaka keshaliwa na ile kitu yetu a.k.a jicho. kama vp ishi kwa matumaini mkuu.
 
kaka kama vp mpeleke madukani mnunulie kaisiki, atumie limao, au akanunue sabuni za kichina arudi kuwa bikra mzee uanze kula kitu mnato, pia kumbuka ametoka kujifungua na lazima papuchi iongezeke in size, pia nadhan mtoto c wako kaka! ila n bora uishi kwa matumaini
 
Mtangulize Mungu katika jambo hili. Ni kweli upo katika wakati mgumu sana. Ushauri wangu, chunguza historia yake, na huenda aliahidiwa vinono akihamia kibaha sasa amegundua kuwa anactually anaruka majivu na kukanyaga moto so ameamua arudi kwako. Usifanye maamuzi sasa kwani bado una hasira. Jaribu kumchunguza kwanza, na uone pia kuwa na wewe hupo salama kwani kuna uzembe wa kibinadamu umeufanya.
 
huyo mkeo anakupenda sana thts y amesema kila kitu ..,just msamehe na usahau, mfungue ukurasa mpya wa maisha yenu......al in al listen 2 ur heart.
 
Unajua inauma sana asee. swali je ww ulishawahi kumsaliti hata mara mmoja labda hiv au bahati mbaya kama ndio basi msamehe. maranyingi ni kwamba izi mambo zinatokea kwa mfumo wa mla cha mwenzie nae chake huliwa kwani maranyingi MUNGU analipa hapahapa duniani. Ila kama ww hujawahi kumsaliti basi muombe MUNGU ikiwezekana ufunge japo siku saba nina amini kabisa atakufungulia mwanga ndipo utaweza kufanya maamuzi ya busara
pole bro
 
Pole sana ndugu...hii stori inasikitisha sana! Muamuzi ni wewe mwenyewe...Ushauri mwingi umepewa, nami naongezea kidogo; kwanza ni bora umsamehe kwa kuwa amekiri makosa. Kumsamehe haimaanishi kuendelea kuishi naye ama la...ni kutoa jakamoyo moyoni mwako. Pili kama una mpango wa kuendelea naye, nendeni mkapime afya zenu kwa pamoja..Ikibainika kuwa mpo salama muanze upya safari yenu ya ndoa. Tatu huyo mfanya biashara lazima afunzwe adabu... Lakini kabla ya kumfunza adabu Mr. Businessman...muulize mkeo alijipambanua vipi kwake..yaani alimwambia alikuwa yupo kwenye ndoa...ama alikuwa yupo yupo kwanza? Kama kosa ni la mkeo kuwa alimwambia kuwa yupo single...ama hayuko katika mahusiano ya dhati basi hata huyo mfanya bisahara umsamehe bure...

Mwisho kwa kuwa mkeo amekuwa honest kwako...baada ya mambo yote hapo juu..jaribu kupata tena committment yake kuwa ataheshimu ndoa yenu hadi mwisho wa maisha yenu hapa duniani.

Kumbuka...hakuna mtu aliye mkamilifu...
 
Everybody deserves a second chance..even you yourself. Usiwaamini hao wanaokwambia kwamba umuache mkeo. msamehe na usahau, si wote wanaoweza kukiri kosa kirahisi hivyo...i believe she has a good heart ndo maana akatubu. Tena wengi wanaokushauri umuache ni wanaume ambao kimsingi ndo mara nyingi wanacheat lakini wake zao huwasamehe kama ilivyo kawaida ya wanawake..hawamwachi mume kwa kosa la kucheat. kwa nini iwe ngumu upand wa pili...
pIA wewe kama mwanaume jichunguze wapi ulipokosea..mara nyingi wanaume wengi wa siku hizi wako too busy na kazi na marafiki, vikao vya pombe hawana muda wa kuspendd na familia zao wala kutoa upendo na care zinazostahili kwa wake zao..hap ndo anguko lilipo hasa kwa wanawake walio dhaifu..wakipata mtu anayeonyesha kujali...imekula kwako..
 
Wewe mwanamme yaonesha unapenda mamlaka sana. Unajiona wewe ni bwana na mkeo ni kitwana. Hiyo kusema eti umemrudisha kwao mwanamke mwenye umri wa miaka 32 na mwenye elimu, umeniacha hoi. Yaonesha unapenda kumiliki mke, unajiona wewe unayo haki zaidi kuliko yeye. Hauna hekima wala busara kama unavofikiria. Kama mimi ungenirudisha kwetu nisingerudia kwako. Umeona mwanamke ni chombo, unaweza kukipeleka kule na kukirudisha huku unavotaka.

Alafu wewe ni kati ya wanaume wanao penda kunyanyasa wanawake kijinsia, eti sababu unazo mali kuliko yeye. Vile vile mwanaume unajifikiria wewe mwenyewe,kwa kuto jari usumbufu akio upata mkeo kutoka dar hadi kibaha kila siku. Hayo yote hayo ndio yakisababisha hasiwe na raha na anune, kama haujui. Na mwisho akachoka, katika kibanda chako akamua aame, na hakutaka umpeleke na kigari chako pia. Hiyo ishara ya kukuonesha wewe kama anaweza maisha yeyote yale, hata na mguu anaweza kutembea pia, usimbabaishe.

Na vile vile kampata bwana mwingine, anaweza kupendwa tena pia na mwanaume atakae mjari.
Na alipo aidi atarudi, hakurudi, amekudharau, kama ulivo mdharau yeye kumrudisha kwao kama chombo. Mpe tu talaka, muache akaenjoy maisha na mwanamme atakae fit nae. Mwanamme atakae mpa furaha.

Husipoteze muda, na kumpa ugonjwa wa moyo binti wa watu. Kama unampenda jirekebishe wewe mwenyewe kwanza.
 
Mimi hata mume wangu akifanya nje najua ila usiniulize najuaje.kaa chini muelewane japo mie sio mshauri mzuri wa maswala hayo mie nina maamuzi magumu kuliko ya lowasa.hata nimafunga ndoa jana nafunga viragoooooo
 
Just thinking aloud.

Mkeo ametafunwa na mfanya biashara. Chukulia huyo mfanya biashara ana mke ana ameshatafuna vibinti takriban vitano au sita. Hapo uko kwenye mtandao wa watu nane. Chukulia mke wa huyo mfanya biashara na kidumu ambacho nacho kina kibinti chenye vidume wawili mmoja wa kukinunulia nguo na mwingine wa kukipa pesa za matumizi. Haya turudi kwenye hivi vibinti vitano vinavyotafunwa na huyo mfanyabiashara. Chukulia kila kimoja kina bwana wake na hivyo vibwana vina vibinti kila kamoja. Unaweza kuona mtandao wako umekuwa mkubwa kiasi gani.

Na kwa ripoti yako kuwa mwezi mmoja tu mashine ya wife iko nyang'a nyang'a mpaka umeishtukia inaonekana huyo jamaa ni bingwa wa kushughulika na hizo mashine na si ajabu ana msururu mrefu wa mashine anazozipatia service.

Tafakari chukua hatua. Sikupi ushauri wa nini cha kufanya kwa sababu mimi ningezingatia mila na desturi zetu na hasa msimamo wangu binafsi katika kuamua jambo hili.
 
Pole sana ndugu...hii stori inasikitisha sana! Muamuzi ni wewe mwenyewe...Ushauri mwingi umepewa, nami naongezea kidogo; kwanza ni bora umsamehe kwa kuwa amekiri makosa. Kumsamehe haimaanishi kuendelea kuishi naye ama la...ni kutoa jakamoyo moyoni mwako. Pili kama una mpango wa kuendelea naye, nendeni mkapime afya zenu kwa pamoja..Ikibainika kuwa mpo salama muanze upya safari yenu ya ndoa. Tatu huyo mfanya biashara lazima afunzwe adabu... Lakini kabla ya kumfunza adabu Mr. Businessman...muulize mkeo alijipambanua vipi kwake..yaani alimwambia alikuwa yupo kwenye ndoa...ama alikuwa yupo yupo kwanza? Kama kosa ni la mkeo kuwa alimwambia kuwa yupo single...ama hayuko katika mahusiano ya dhati basi hata huyo mfanya bisahara umsamehe bure...

Mwisho kwa kuwa mkeo amekuwa honest kwako...baada ya mambo yote hapo juu..jaribu kupata tena committment yake kuwa ataheshimu ndoa yenu hadi mwisho wa maisha yenu hapa duniani.

Kumbuka...hakuna mtu aliye mkamilifu...

Hii ya kumfunza adabu mfanyabiashara sikubaliani nayo. Mwenye wajibu wa msingi wa kulinda mali isiibiwe ni mume na mke. Kama mke alishindwa kuwajibika kulinda mali za watu na mume alikuwa ***** kugundua viashiria vya kuibiwa sioni kwa nini afunzwe mtu ambaye aliomba tu huduma na akagawiwa na mke wa jamaa kwa ridhaa yake mwenyewe. Labda kama huyo mwanamama alibakwa ambapo itabidi sheria ichukue mkondo wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom