Hii ya kumfunza adabu mfanyabiashara sikubaliani nayo. Mwenye wajibu wa msingi wa kulinda mali isiibiwe ni mume na mke. Kama mke alishindwa kuwajibika kulinda mali za watu na mume alikuwa ***** kugundua viashiria vya kuibiwa sioni kwa nini afunzwe mtu ambaye aliomba tu huduma na akagawiwa na mke wa jamaa kwa ridhaa yake mwenyewe. Labda kama huyo mwanamama alibakwa ambapo itabidi sheria ichukue mkondo wake.
Tata wewe ni jinsia gani? Kama ni mwanaume...halijakufika ndio maana unakuwa soft hearted!