Mke wangu amenifukuza nyumbani

Mke wangu amenifukuza nyumbani

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,382
Reaction score
4,664
Habari wadau;

Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.

Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake

Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa

Chanzo cha tatizo ni hiki

Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.

Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.

Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili

Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana

Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii

c&p
 
Unatushauri nini ? Pambana na Ufisi wako!!
Ewe Team fisi

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Habari wadau;

Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.

Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake

Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa

Chanzo cha tatizo ni hiki

Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.

Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.

Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili

Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana

Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii

c&p
Sio mke wako sema mume wako zuzu wewe
 
Mvalishe kimini mpe pombe ya kutosha kisha mtelekeze pale sinza mori usiku wa kutosha, nakuhakikishia kwa asilimia 100, yeye ndio atakuacha bila kinyongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau;

Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.

Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake

Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa

Chanzo cha tatizo ni hiki

Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.

Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.

Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili

Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana

Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii

c&p
Rudi kwenu kamuulize mama yako " MIMI NI JINSIA GANI?'"
 
Sawa tuko makini..

Sasa umekuja kutushauri bila evidence..weka picha mkuu

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Na ww ni mwanaume kweli

[emoji375][emoji375]
 
Back
Top Bottom