Mke wangu amenifukuza nyumbani

Mke wangu amenifukuza nyumbani

Mwanamke mmoja tu shida. Nyie mnapata wapi nguvu ya uoa zaidi ya mmoja?
Habari wadau;

Mke wangu mdogo ananifukuza nyumbani.

Sababu ni kwa sababu nimemwambia mke wangu mkubwa mambo yake

Amenitishia kuniua kwa kisu kama sitaondokaa

Chanzo cha tatizo ni hiki

Huyu mke mdogo alisababisha nikaachana na mke mkubwa.Sasa tunaishi wote ila mimi sikutaka kumuacha mke mkubwa kwa sababu huyu mke mdogo ni kisirani.

Nimemruhusu atafute mume mwingine aolewe.Tatizo ni kwamba niliadili hilo swala na mke mkubwa na yeye akamwambia.

Huyu mwanamke nimezaa naye mtoto mmoja tu hana hata miaka miwili

Nataka kuondoka ila bado natafakari maana nikishaondoka huwa anaanza kunisumbua tena.Nimechoka sana

Nawashahuri muwe makini na wanawake wa aina hii

c&p
 
Ndg wee mnunulie zawadi na mpe mshiko ..utaona Mambo biyeen!!
 
Back
Top Bottom