unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 484
Michirizi ya unene sasa kapungua, kama iko tumboni, ngozi ya tumbo ilivutika sana sasa mtoto katoka lazima hiyo hali itokeem.. Usimkosee mkeo kwa hilo tatizo dogo HAJALITAKA.. huko unakotaka kwenda utabeba mabaya zaidiWakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Hahahaaaaa aisee nimecheka sana.Et akimedisi principle jamaani jf!Kuchepuka ni akimedisi principle, toka enzi. Hiyo haitegemei uzuri wa mke.
Poleni kwa michirizi lakini. Muonr Dr Mwaka
Jamaa ni balaaHahahaaaaa aisee nimecheka sana.Et akimedisi principle jamaani jf!
Kama michirizi tu inakutoa imani sasa akikatika miguu si utakimbia nyumba kabisa.Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
kwenye shida na raha maana yake unaijuaWakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Msaidie sasa, cz hata mke wake atakuwa anahangaika na hiyo michirizi.Michirizi ya unene sasa kapungua, kama iko tumboni, ngozi ya tumbo ilivutika sana sasa mtoto katoka lazima hiyo hali itokeem.. Usimkosee mkeo kwa hilo tatizo dogo HAJALITAKA.. huko unakotaka kwenda utabeba mabaya zaidi
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Ni sababu ya wewe kuitwa Baba uache ubinafai
Yaani kweli unataka kuchepuka kwa sababu ya michirizi kwenye ngozi ya mkeo ambayo umeisabaibisha mwenyewe kwa kumzalisha; kwani yeye alipenda awe hivyo???Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Enewei tafuteni shea butter Og from ghana achanganye na majivu awe anapaka pia atafute black soap from Ghana ila usitegemee atapaka leo kesho iwe imeisha, it take times kidogo
Nenda kariako kanunue crime moja inaitwa Fair &lovery kazi yake kutoa michiriziWakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.