cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,662
- 137,389
Mil 3,Nataka nipange thamani ya mahari ujue. Babu ndio mpangaji mkuu
Mil 3,Nataka nipange thamani ya mahari ujue. Babu ndio mpangaji mkuu
Milioni tatu umekuwa kuku. Mahari ya mjukuu wa babu ni kuanzia 10m. Kama hawana nakuoa mwenyeweMil 3,
Pia hauna relevacyPicha iko wapi?
Uzi wako unakosa chain of custody na competence tunachangiaje sasa
Mlete kwenye maombi. Maunene ni mapepo kabisa. Ninaombea na kutimua mapepo ya unene ndani ya muda mfupi sana
ni PM nikupe diet planShabaaaash! Habarini wanajukwaa.! Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.
Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.
J pili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.
Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.
Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!
Kufanyaje??Wangu kanenepa hivo nina mwaka wa 2 nishaacha kunaniliu
Makalio makubwa fresh,ila sio tumbo.Si mnapenda makalio makubwa?
Naomba nikukosoe ndugu yangu.Si Sahihi kumuita binadamu mwenzako Nguruwe,nimeumia Sana japo hainihusu lkn sio vizuri, Kumbuka "Mungu alituumba sisi binadamu wote kwa sura na mfano wake", Kumbe tusiitane Majina mabaya Wala kudharauliana.Oa mke wa pili na ajue lazima akonde
Au raha jipe mwenyewe tafuta vibinti hilo nguruwe achana nalo
Makalio makubwa yawe yamepangiliwa sio kalio kubwa halafu halina shape nzuri yaani lipo kama gunia la nazi.Si mnapenda makalio makubwa?
Hahahaaa na Relevance kabisaPicha iko wapi?
Uzi wako unakosa chain of custody na competence tunachangiaje sasa
Matusi kwa shemela hapana japo bro nae kazingua kuanika ya chumbani sebleni.Oa mke wa pili na ajue lazima akonde
Au raha jipe mwenyewe tafuta vibinti hilo nguruwe achana nalo
Bila kusahau unique features za huo unene pamoja na kwamba tulishaziona kwenye commitalPicha iko wapi?
Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa
Picha iko wapi?
Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa