Mke wangu amenenepa mno

Sisi tunahitaji vibonge tuambie anapatikana wapi kama amekushinda hayo ma fillet ni ya thamani kubwa
 
Unasema kanenepa matiti na makalio
Yaani umeniwazisha mbali wewe
Msiwe mnawasema wake zenu hivyo

Kanenepa ingetosha sana
Sasa weka picha tumalize mchezo kabisa
Halafu gym usifikiri wote wanaoenda wanafanya mazoezi
Utapoteza hela zako bure
Jiridhishe hapa
IMG_3408.jpg
 
anza kula vitoto tu hakuna namna , wakinenepa wananenepa kweli kama minguruwe , siushamuoa kwani ana cha kupoteza? kuna shida sana hawa wake zetu wa kiswahili, ulaya huwezi kukuta janamke kama litembo na kianaume kiduchuuuuu

Obesity inaongoza nacho gani vile?
 
Wangu kalikuwa kamodo swaaaafi lakini saizi amebongeka halafu anajiskia raha kweli kuwa kibonge yaani acha tu.
 
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.

Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.

Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.

Jpili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.

Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.

Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!
Umeshapata jibu la sababu ya kunenepa.
 
Milioni tatu umekuwa kuku. Mahari ya mjukuu wa babu ni kuanzia 10m. Kama hawana nakuoa mwenyewe
Naona babu unaupiga mwingi,
Mzigo umeuongezea thamani ili ukose wateja halafu ukausosomole mwenyewe.
Babu uko na miakili mingi sana.
 
Back
Top Bottom